Wakuu,
Ni mimi tu nime-notice kuwa kipindi ha Uchaguzi wa CHADEMA na baada ya Lissu kushinda spidi ya Intaneti imekuwa slow sana.
Ku-access imekuwa ni ngumu na siku hiyo ambayo mkutano mkuu wa CHADEMA ulikuwa unaendelea ilikuwa ni shida sana kuweza ku-stream tukio hilo.
Nakumbuka the same...
Oneni hapo[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]mtandao wahovyo duniani ndo huu sasa 450kbps na hapo ni 4G na hapo natumia simu kali kabisa ya kimarekani maana watu hawakawii kusema labda shida ni simu.
Internet speed ya kobe network ni 4G nilipo ni mjini Dar es Salaam kabisa tulipo na...
Hivi hili ni mimi au nanyie mnaexprience hii hali?
Mnaweza kudhani labda ni simu La hasha simu ram ni 12 na uwezo wake ni mkubwa haijajaa hata
Mitandao sijui imekuaje
Mfano Halotel 3g yao inakasi kuliko 4G yao yaani kwenye simu ukiset 3G option ndo inakua na kasi
Voda 5G 4G na 3G lakini...
Hakuna kitu kinauma ulipie bill halafu muamala uwe una hang tu. Kibaya zaidi hata sms ya muamala usiipate.
Vodacom Tanzania kuanzia jana mpaka leo miamala inasuasua. Mkimaliza maboresho mtujuze ili tuendelee na nyie.
Sio Voda tu , mitandao yote itungiwe Sheria kuwa muamala ukikwama ukikamilika...
Ndugu Mteja,
Tunapitia kipindi cha maboresho muhimu kwenye mifumo yetu ya TEHAMA kwa lengo la kuboresha zaidi huduma. Katika siku chache zilizopita, huenda umekumbana na changamoto katika matumizi ya huduma zetu.
Maboresho haya makubwa ya miundombinu yetu ya TEHAMA yanalenga kukuletea huduma...
Kwa siku kadhaa sasa kumekuwa na changamoto ya mtandao wa Halotel hasa internet na mawasiliano ya kawaida, lakini kibaya zaidi kampuni haitoi ushirikiano kwa wateja wake na ukiangalia kila mteja analipia huduma hivyo ni lazima aipate sio ombi tena kwa maana ameshailipia.
Pia soma: KERO -...
Anonymous
Thread
digital rights
halotel
halotel tanzania
hudumayaintanetihuduma za halotel
Kampuni ya mawasiliano Safaricom imefungua milango ya ushirikiano na kampuni ya mtandao wa satelaitii ya Starlink, ikiwa ni hatua ya kuimarisha teknolojia ya intaneti nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Safaricom, Peter Ndegwa, amesema kuwa teknolojia ya Starlink, ambayo imeleta mapinduzi kwenye...
Senegal imezuia upatikanaji wa Huduma za Intaneti kwa kile kilichodaiwa na Waziri wa Mawasiliano kuwa ni kutokana na kuenea kwa "ujumbe wa chuki" kwenye Mitandao ya Kijamii.
Hatua hii inakuja baada ya Kiongozi wa Upinzani, Ousmane Sonko kukamatwa Wiki iliyopita na kushtakiwa tena Jumamosi...
Serikali kwa kushirikiana na watoa huduma wanaweza kuzuia huduma ya kufikia mtandao kwa njia nyingi. Kwa mfano, serikali zinaweza kukata gridi ya umeme au kuhujumu miundombinu ya huduma ya mtandao kama vile minara ya simu za mkononi na kebo za fibre optic.
Serikali pia zinaweza kuzuia ufikiaji...
Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania.
Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania...
Bei ya vifaa vyote na kuwekewa ni shilingi laki 9.
kifurushi kinadumu kwa mwezi, nadhani anapanga bei kwa kuangalia uchumi wa nchi, Marekani ni 230,000/= , Nigeria ni 98,000, Hapa Kwetu si ajabu ikawa 70,000.
Ni internet ya kisasa, Speed yake ni kubwa sana, unaweza kushusha file la gb 1 speed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.