Wakuu.
Nimewaita mara moja, mimi ni mdau mzuri wa mitandao ya Simu hususani mtandao pendwa wa Airtel ila kwa siku za hivi karibu mtandao wa Airtel umekua na sintofahamu hususani kwenye upande wa Internet, nataka kuwauliza wahusika kimetokea nini?
Mtandao wa Airtel umekua mziiiiiiiiiito...
Muhimu: usiweke porn
Ukitaka ku enjoy zaidi lipia, vya bure vingi vina vikwazo, vimechuja, havina quality, n.k.
Netflix - 10,000, hii ni bei ya vishoka, bei halisi ni 20K.
A sports HD - 2,000, match za Tz, Caf, Epl, Uefa, n.k.
Alldebrid - 9,000 - kustream na kushusha torrents moja kwa moja
Kwenye ukurasa wake wa X (Twiiter) Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ndg. Nape Nnauye amesema huduma za internet zimerejea kwa 94% na sasa wanafanya jitihada huduma hiyo irejee kwa 100%
"Kazi Inaendelea vizuri. Mpaka mchana wa leo Tarehe 15/5/2024, Huduma za Internet...
📣Tumekuletea Fiber to Home: intaneti ya uhakika, isiyo na kikomo na yenye kasi zaidi Tanzania.💫
Huduma hii mpya kutoka #Tigo, inakuwezesha kuunganisha nyumba, biashara, shule, chuo, ofisi yako na intaneti ya uhakika bila kikomo na kukufungulia ulimwengu wa Kidigitali🌍 kwa gharama ya kuanzia Tsh...
Bei ya vifaa vyote na kuwekewa ni shilingi laki 9.
kifurushi kinadumu kwa mwezi, nadhani anapanga bei kwa kuangalia uchumi wa nchi, Marekani ni 230,000/= , Nigeria ni 98,000, Hapa Kwetu si ajabu ikawa 70,000.
Ni internet ya kisasa, Speed yake ni kubwa sana, unaweza kushusha file la gb 1 speed...
Chuo cha Ualimu Korogwe Mkoani Tanga, pamoja na kutoa mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), lakini chuo hicho hakina huduma ya internet, hivyo kuwafanya wanafunzi wanaojitunza kozi hiyo kuwa ngumu wakati wa kufanya mafunzo ya vitendo.
Lakini pia, pamoja na Serikali kujenga...
Habari ndugu..!!
Karibu Katika kampuni pendwa ambayo imekuwa ikitoa huduma ya internet majumbani pamoja na offisini kwa bei Nafuu kabisa.
Ateb technology tunatoa internet yenye spend na kasi ya Hali ya juu ambayo itakuwezesha ku browse na kutumia electronic device Kama kompyuta simu na camera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.