Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Serikali imefanikiwa kuwekeza katika utekelezaji wa miradi ya majisafi yenye thamani ya Trilioni 1.19 kwa kipindi cha miaka 4 ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.
Akiwasilisha taarifa ya mafanikio ya...
Ubungo kuna shida ya maji sio poa
Usijichanganye ukapanga Ubungo kibangu, kajima,makoka, Rivaside juu au Msewe, maeneo mengi ya Mbezi
Mfano Ubungo kibangu huwa ni kawaida ya watu kukaa miezi mitatu mpaka 6 bila maji
Maji yakitoka ni mara moja kwa mwezi tena yatoke hata lisaa hayamalizi...
Kuna bomba lipo Kimara Korogwe, uelekeo wa Mji mpya karibu na daraja (Njia ya kuelekea Kam College) limepasuka siku ya 5 sasa.
Jitihada za wananchi kuliziba zimegonga mwamba kutokana na wingi wa maji yanayomwagika hivyo kufanya maji yaendelee kumwagika.
DAWASA njooni mfanye kazi yenu. Maji...
BAADHI ya wafanyabiashara wanaouza maji wanayohifadhi katika matangi ya kubebwa na magari maarufu maboza, mkoani Dar es Salaam, wamelalama hali ni mbaya kibiashara kutokana na maji kuadimika.
Katika mazungumzo na Nipashe, wafanyabiashara hao wamedai kuwa kuadimika kwa bidhaa yao hiyo kunawapa...
Inaingia wiki ya tatu sasa wakazi wa Kimara hawajui kitu kinachoitwa maji , na wala hamna taarifa wala maelezo yoyote ambayo yanatolewa na mamlaka husika.
Meneja umetulia ofisini una sign posho na kupokea mshahara bila kufanya kazi, maana ni kazi gani hiyo ambayo unafanya wakati wananchi...
Wakazi wa Kimara yote wilayani Ubungo mkoa wa Dar es Salaam hawana huduma ya maji tangu siku ya Alhamisi,hali inayozua sintofahamu kwani imekuwa ni kawaida kukatika kwa maji kila mwisho wa wiki wa kwa takribani mwezi mmoja sasa.
"RAIS SAMIA HANA DENI HUDUMA YA MAJI UBUNGO" - LUKUVI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi ametembelea Mradi wa Maji Mshikamano uliopo Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo katika ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Ubungo ambapo...
Nashindwa kuelewa sijui hawa watenda kazi wa hii DAWASA kuanzia viongozi hadi watenda kazi wa chini mmeshindwa kabisa kupata njia mbadala ya kuondoa hizi changamoto za huduma ya maji jijini dar es salaam? Jiji lenye zaidi ya watu milioni 8 Ni aibu sana kuona huduma ya maji ikisuasua nyie...
AWESO AIPANGUA DAWASA, AIWEKA CHINI YA UANGALIZI MAALUM
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA), Kiula Kingu akae pembeni kwa muda, pia amemsimamisha kazi, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji Maji-DAWASA, Shaban...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.