Mamlaka za maji zinatumia gharama kubwa sana kukusanya biki za maji toka kwa wateja wa maji ambao hawalipii hadi wakatiwe.
Hapa naona Dawa ni ‘Lipia maji kadri unavyotumia’. Zifungwe meter za kielectronic ambazo zitakuwa zinatumia umeme kujiendesha, na kwa sehemu ambazo hazina umeme, nasi meter...