Habari JamiiForums, naleta kwenu malalamiko yangu labda wakiyaona kutokea hapa ni
Mimi ni mpiga picha, nimejiajiri kwenye kizi hii na ndio inayoniingizia kipato. Sasa nilikuwa nimeweka camera yangu sokoni ili niongezee na kiasi kingine ninunue kamera nyingine itakayonifaa zaidi kwenye kazi...