huduma ya umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dkt. Doto Biteko: Mpaka sasa vijiji vyote vimefikiwa na huduma ya umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Tanzania ipo katika hatua kadhaa mbele kwenye masuala ya nishati ya umeme kwani mpaka sasa vijiji vyote vimefikiwa na huduma ya umeme. Dkt. Biteko amesema hatua hiyo inawawezesha wananchi kuwa na uhakika wa nishati ya umeme na...
  2. A

    KERO Changamoto ya kukatika katika umeme kila siku baadhi ya nyumba mtaa wa Zavala-Kwambiki Chanika Ilala, Dar es Salaam

    Mimi naishi mtaa wa Zavala - Kwambiki kata ya Buyuni Chanika Ilala Dar es salaam. Nyumbani kwangu na baaadhi ya nyumba za majirani zangu tumekuwa tukipata tatizo la umeme kukatika katika kila siku ikifika saa moja usiku mpaka saa nne usiku kuanzia mwaka jana 2024 mwezi wa Tisa. Nili-report...
  3. A

    KERO Wananchi kata ya Magange wilayani Serengeti kutounganishiwa umeme takriban miaka 6 pamoja na kujaza fomu

    Ni takriban miaka zaidi ya sita tangu huduma ya umeme ifikishwe katika KATA ya MAGANGE Wilayani Serengeti mkoani Mara lakini tangu wakati huo wananchi mbalimbali walijaza fomu za maombi ya kuunganishiwa lakini mpaka sasa wajapatiwa huduma hiyo. Baadhi yao walijaribu kwenda mpaka katika ofisi za...
  4. R

    KERO Umeme Vikindu bado ni changamoto kubwa

    Nashangazwa sana na utendaji wa Tanesco, nilikuwa nakaa Dodoma umeme ulikuwa haukatiki ovyo ila maisha ya kule ni gharama sana nikamua nihamie Vikindu Vianzi kupata unafuu wa maisha na kujiendeleza kibishara kwa kutumia umeme. Cha ajabu tangia nihamie nina miezi miezi mitatu ila sijawahi kukaa...
  5. A

    KERO Hali ya Nishati ya Umeme Wilaya ya Bariadi kwenye baadhi ya Taasisi za Serikali ni mbaya

    Serikali ikiwa kwenye jitihada nzito za kuhakikisha NISHATI UMEME inapatikana vijijini kote lakini huku hali ni tofauti. Kata ya Gilya wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, taasisi za Serikali kama Shule na Zahanati hazina UMEME huu mwaka wa pili, ikiwa nguzo za UMEME zimepita kuelekea vijijini...
  6. TANESCO mnachelewa sana kuleta nguzo kwa tunaohitaji

    Kucheleweshea wateja wa service line wanaohitaji nguzo imekuwa changamoto sana kwetu wateja Sababu kubwa ikiwa ni upungufu wa vifaa. Kweli wasimamizi wa taasisi mmeshindwa kulisimamia hili jambo au shirika limezidiwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…