Wakuu,
Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada.
Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada wa USD Milion 512 ndani ya mwaka mmoja kwenye sekta ya afya pekee alafu bado wagonjwa wanalala chini...
Hivi unahisi Tanzania ya Leo ni sawa na miaka ya 60? Unapokuja kulazimisha hospitali za Umma zianzishe utaratibu wa kuchangisha pesa kinyume na miongozo ya afya una maana Gani?
Kuna huduma zinazolipiwa na zipo huduma ambazo kutokana na umuhimu wake serikali imeona zitolewe Bure. Wewe kwa ukaona...
Hili jambo limenikuta maana kuna ndugu yangu amefariki tangu Alhamisi iliyopita, alikuwa anadaiwa 2.5milioni, ila kwa ukata unaotuandama tulichanga tukapata laki 6, Leo tumeenda kuomba kukabidhiwa miwili wa mpendwa wetu, lakini wamekataa. Sijui tunafanyaje kwa hili.
Ndani ya kipindi cha wiki tatu tu Tanzania tumeshuhudia vifo vya viongozi wawili wa kitaifa wakifariki wakati wakitibiwa kisiri huko India kinaashiria bado huduma zetu za kiafya hapa Tanzania ni duni, mbovu au haziaminiki na watanzania walio wengi wakiwemo viongozi wakubwa wa kitaifa.
Taifa...
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhita (watatu kutoka kushoto), akipokea vifaa tiba kutoka kwa Stanley Kafu, Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim ukiwa ni mchango wa benki hiyo katika jitihada za kuboresha huduma za afya katika makabidhiano ambayo yamefanyika katika Hospitali...
Utangulizi
Sekta ya afya ni miongoni mwa sekta muhimu sana katika maendeleo ya kitaifa na ustawi wa jamii nchini Tanzania. Sekta hii hugusa maisha ya mtanzania mmoja mmoja na taifa kwa ujumla, na kwasababu hio ili kujenga taifa bora hatuna budi kuboresha sekta ya afya nchini.
Miongoni mwa...
Wakati wahusika wakikazana kusifia na kugeuka chawa wa viongozi, Hapa ni Jimbo la Kigoma kusini wilaya ya Uvinza kata ya Basanza Mkoani Kigoma katika zahanati ya serikali, huyo ni raia mlipa Kodi akitetea uhai wake pamoja na mwanaye baada ya kujifungua Zahanati bila kupata msaada wowote.
Pia...
Utangulizi:
Katika Tanzania, huduma za afya zinaendelea kuwa muhimu katika kuboresha ustawi na maendeleo ya jamii. Hospitali za umma zinachukua jukumu kubwa katika kutoa huduma hizi kwa wananchi, na manesi wanashikilia nafasi muhimu katika utoaji wa huduma za afya kwa ujumla. Hata hivyo, katika...
Habari,
Afya ni miongoni mwa huduma muhimu na msingi katika katika Jamii yoyote. Katika kupata Huduma za Afya kuna michakato na mambo mengi katikati yake.
Je, umeshawahi kukutana na kero gani katika kupata Huduma za Afya Kishingo akusaidie kuisemea?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.