Halotel Tanzania ina zaidi ya miaka 8 katika utoaji wa huduma ya mawasiliano nchini lakini inashangaza kuna mambo madogo madogo tu wanashindwa kuyaweka sawa ili kuiboresha huduma yao kimawasiliano
Jambo la kwanza ni namba kuwa busy pale unampompigia mtu wa halotel ukiwa na laini ya Halotel pia...