Wakuu,
Kuna baadhi ya benki ukienda kupata huduma unaenda umetabasamu ukitoka unatamani upasuke kwa hasira.
Baadhi ya kero ya kero ni wadumu kufanya mambo mambo taratibu sana, mtu mmoja anatumia hata nusu saa halafu kikubwa kinachofanyika hakuna.
Ama unakuta benki ina madirisha mengi lakini...