Katika jitihada za kukuza mashirikiano yenye tija, Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete(JKCI) imeanza kushirikiana na Hospitali ya Medanta iliyopo nchini India katika kubadilishana ujuzi wa fani mbalimbali za kutoa huduma za matibabu ya moyo.
Ushirikiano huo meanza rasmi kwa mara ya kwanza...