huduma za kifedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikola24

    Naogopa kutumia huduma za kifedha kuhifazi hela

    Habari wadau Nataka kuanza mpango wa muda mrefu kuhifadhi pesa.Nimechagua kuhifadhi kidigitali yaani huduma za kifedha kwenye laini ya simu au benki. Sasa tatizo naogopa kujibiwa maana naamini wafanyakazi watoa huduma hizo wanaweza kunipiga tukio. So naombeni ushauri nikae sawa kimtazamo!
  2. Crocodiletooth

    Kampuni za simu ziimarishe PIN zake katika huduma za kifedha

    Nayaomba makampuni ya simu yote, nchini kwetu, yaimarishe pin zake katika huduma za kifedha, badala ya 1234 au 1978 au 1785, waboreshe na kuwa #25j au@@01 au%21@ hili litasaidia sana katika kuimarisha usalama kwa huduma za wateja wenu kifedha. Inshaallah! Nambari pekee zimekuwa easy to be...
  3. G-Mdadisi

    Pengo la Upatikanaji huduma za kifedha na bidhaa lapungua 2023

    PENGO la kijinsia kati ya wanaume na wanawake katika kupata huduma rasmi za kifedha na bidhaa limepungua kwa kiasi kikubwa, kutoka asilimia 10 mwaka 2017 hadi asilimia 3.6 mwaka 2023. Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Wanawake ya Ujumuisho wa Kifedha (WACFI), Bi. Beng’I Issa amesema hayo...
  4. H

    Kutuma pesa mitandao ya simu ya Tanzania ukiwa Kenya

    Habari wana JF Naomba uzoefu Kwa mtu ambaye amekuwa akisafiri kwenda Kenya na ana akaunti NMB je akiwa Kenya aliweza kutumia huduma za kwenye app ya NMB mfano kutuma pesa kwenda mitandao ya simu? Kwa kifupi issue yangu iko hivi nina akaunti NMB nitaenda Kenya hivi karibuni nikiwa huko nitakuwa...
  5. Influenza

    Vodacom yaongoza kwa Wateja wanaotumia huduma za kifedha. Akaunti zaidi ya milioni 9.2 zasajiliwa kwa Januari-Septemba 2023

    Ripoti iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (#TCRA) imeonesha Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom inaongoza kwa Wateja waliojisali na huduma ya kutumia fedha kwenye simu Usajili wa Wateja wanaotumia fedha kwenye simu umeongezeka kutoka akaunti Milioni 47.3 zilizokuwepo mwishoni mwa Juni...
  6. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na suala zima la huduma za kifedha

    Utandawazi wa huduma za kifedha umekuwa na athari kubwa katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii duniani kote. Hata hivyo, pamoja na faida zake, utandawazi huu pia umesababisha changamoto kadhaa katika suala la utawala bora na uwajibikaji. Kwa hiyo, ni muhimu kuchukua hatua za haraka za kuboresha...
  7. HIMARS

    Makato ya huduma za kifedha yamezidi

    BOT kama mamlaka inayosimamia shughuli zote za fedha, je mlipitisha haya makato ya banki? Je, mlikaa na wadau kujua athari za makato makubwa ya kifedha kwa kutoa pesa kwenye benki/mawakala? Hebu pitieni upya haya makato, maana hakuna furaha kufurahia benki imepata faida kubwa kumbe wanatuumiza...
Back
Top Bottom