BOT kama mamlaka inayosimamia shughuli zote za fedha, je mlipitisha haya makato ya banki?
Je, mlikaa na wadau kujua athari za makato makubwa ya kifedha kwa kutoa pesa kwenye benki/mawakala?
Hebu pitieni upya haya makato, maana hakuna furaha kufurahia benki imepata faida kubwa kumbe wanatuumiza...