Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi wa Kijiji cha Kasumo wilayani Buhigwe mkoani Kigoma kuutambua na kuuthamini mchango wa Serikali katika maendeleo ya huduma za kijamii wilayani humo.
Makamu wa Rais amesema hayo alipotembelea ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Kahimba...
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kufuta sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara na badala yake fedha zilizotengwa zitumike kusaidia huduma za kijamii.
Amesema fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya maadhimisho hayo zielekezwe katika kutoa huduma za kijamii, huku akieleleza...
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Mbeya Shitambala na Diwani wake wa Kata ya Ilungu iliyokumbwa na mmomonyoko wa ardhi wameiomba Serikali kuwapelekea Huduma za Kijamii.
Shitambala amesema Serikali isisubiri hali iwe mbaya sana ndio ipeleke Huduma za Kijamii
Source Upendo Tv
Maji hayatoki, pia wakala wa huduma za nishati na umeme vijijini hawatoi majibu ya kueleweka kuhusu wananchi ambao bado hawajapata huduma ya umeme, walifanya survey mwezi Machi mpaka sasa Septemba hawajarud tena.
Ukifatilia kwenye ofisi zao hawatoi majibu ya kuridhisha wanasema subirini...
Anonymous
Thread
hudumazakijamii
kero ya maji rombo
kero ya umeme rombo
Wamaasai waliibembeleza sana serikali kabla hawajaamua kuandamana.
Hapa chini kuna video ya wenyeviti wa vijiji waliokwenda kumuomba RC Makonda awarudishie huduma za kijamii katika maeneo yao.
Bila shaka viongozi hao wa wananchi hawakusikilizwa, na matokeo yake ni maandamano makubwa...
Stendi ya Mbezi Magufuli leo siku ya pili hakuna huduma ya maji, hali si hali kwani abiria wanapata tabu, na watu wanaofanya shughuli zao humu ndani na nje ya stendi kadhalika.
Hali imekuwa mbaya kiasi cha watu kuambiwa wajisaidie haja ndogo tu na si haja kubwa kutokana na kukosekana maji licha...
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.
Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata...
Kuna vigogo wanatumia shida za wananchi kuishi kama wako peponi kupitia huduma za jamii.
Mafuta ni tatizo lingine linalosumbua maskini na kufanya waishi maisha ya juu. Kwa sasa matajiri wanazuia mafuta kushinikiza bei ipande na wanaficha makusudi kabisa. Pita leo baadhi ya vituo utaambiwa...
Katika Ukurasa wake wa (X) zamani tweeter Mkurugenzi wa PPP-Cetre Tanzania Bw David Kafulila amesema kuwa utafiti uliofanywa na taasisi ya kitafiti ya Steadman au SYNOVETe mwaka 2008 ulibaini kuwa tatizo namba moja la Watanzania ni maji Safi na Salama.
Kafulila amesema kuwa Rais Samia katika...
Taarifa iwafikie Idala ya Maji safi na maji taka mkoa wa Mbeya.
Hivi huwa mnautaratibu wa kukagua chemba za maji taka hapa jijini maana mji mzima umekuwa ukinuka harufu ya maji taka.
Mwanzo ilikuwa chemba ya pale Sabasaba karibu na ofisi za CCM, ilikuwa ikivujisha maji taka kwa muda mrefu sana...
Miezi kadhaa iliyopita, tulikumbwa na janga kubwa la mgao wa umeme ambalo lilileta usumbufu wa kila aina kwa Watanzania. Watu wakawa 'frustrated' na umeme ukawa ndo story kila kona na mitandao ya kijamii.
Mvua ikaanza kunyesha na tararibu kadhia hii ya umeme ikaanza kupungua, na kwa sasa...
Taasisi ya kuzuia na kumbana na rushwa (TAKUKURU) inapaswa kushirikia na wizara ya ujenzi kupitia wakala wa barabara (Tanroads) ili kudhibiti vitendo vya rushwa kati ya madereva na mafisa wa vituo vya kupima uzito wa magari ili kusudi miundombinu ya barabara hasa za mikoani kuweza kudumu kwa...
Kitendo cha Mwekezaji kupelekewa maji na Wananchi kukosa, kimeibua maswali kwa Wananchi wa Kitongoji cha Mgodini, Nyakavangala, Kata ya Malenga Makali, Wilaya ya Iringa mkoani Iringa.
Mwekezaji huyo amepelekewa maji, huku Wananchi wenye uwezo mdogo wakinunua maji kwa ndoo moja TZS 500/-, huku...
Umoja wa Mataifa (UN) umetangaza kuwa Uganda imekidhi vigezo vya kuorodheshwa kama nchi ya kipato cha kati cha chini (lower-middle income) baada ya kuboresha kwa kiasi kikubwa afya, elimu na viwango vya kipato vya wananchi wake.
Bibi Susan Ngongi Namondo, mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.