Wakuu kwema, nilikuwa naumwa yapata wiki sasa npo ndani.
Sasa wakati sijiwezi kitandani kuna documents ilitakiwa nizitume sehemu nikampa wife simu anisaidie kutuma na akafanya hivyo na kule zilipoenda nikaambiwa zimefika.
Sasa katika kipindi cha wiki wifey amekuwa akichukia simu yangu na...