huduma za kujifungua hospitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Wauguzi walimwambia anawasumbua akajifungua sakafuni, kichanga chafariki

    Hai. Mkazi wa Wilaya ya Hai, Happiness Massawe (39), amegoma kuchukua mwili wa kichanga hospitalini kwa wiki moja akidai kifo cha mtoto wake kimetokana na uzembe wa baadhi ya wauguzi. Happiness, aliyejifungua katika Hospitali ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro alisema Oktoba 31 mwaka huu...
Back
Top Bottom