huduma za massage

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Watanzania tupo salama kiasi gani katika mikono ya wanaotoa huduma za 'massage'?

    Kuanzia Kimara Mwisho, Sinza hadi Mikocheni, kila unapopita leo utakuwa huna bahati nzuri kama usipokutana na vibao vinavyotangaza huduma za kuchua (massage). Matangazo mengi ni ya kujinadi kwa huduma bora na bei nafuu. Utakuta bei ni 35,000 hadi maeneo mengine kuna za 70,000, 80,000 na...
Back
Top Bottom