huduma za mitandao ya simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maeneo mengi inayopita SGR hayana network nzuri ya simu, Je makampuni ya simu hayaoni pesa hii inayopotea?

    Hii ni ajabu na kweli ukisafiri na treni ya SGR utakuta maeneo mengi inapopita hiyo treni hayana network nzuri ya simu. Je makampuni ya simu hayaoni kama wanapoteza fursa ya kupiga pesa? Hawaoni pesa mingi inayopotea hapa au ndo wameshashiba na kuvimbewa hawataki pesa tena?
  2. KERO Kampuni za mawasiliano kwanini mlazimishe mteja kupata huduma ambayo hana haja nayo?

    Hivi kuna haja gani ya kumlamisha mteja kupata huduma ambayo hana haja nayo?. Mtu anahitaji kuunga kifurushi cha data yaani internet bundle, lakini anapewa dakika ama na sms bundle. Sasa kwanini usiwekwe utaratibu wa uwanja mpana wa machaguzi ya vifurushi ili kumfanya mnunuzi kuwa huru zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…