U hali gani Mtanzania!
Napenda kutoa wazo kuhusu huduma ya Usafiri hasa Mabasi yaendayo Mikoani na Daladala zinazotoa huduma ndani ya Mikoa katika usafirishaji.
1. Napendekeza wafanyabiashara wawekwe makundi 3 (ziundwe kampuni 3 ) tu ambazo zitatoa huduma hii ya biashara hapa nchini ili...