Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuhakikishia anasimamia masuala ya usalama katika vivuko vyote nchini ili viweze kutoa huduma bora pamoja na kulinda usalama wa mali na abiria.
Aidha, Bashungwa ametoa wiki moja...