huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzania na Japani kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto.

    Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Yen za Japan bilioni 1.527 sawa na shilingi bilioni 27.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya nchini. Mkataba huo umesainiwa katika Ofisi za Hazina Ndogo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Wizara...
  2. Wafanyabiashara wekeni bei za bidhaa na huduma zenu kwenye matangazo yenu ya biashara

    Katika ulimwengu wa biashara wa kisasa, matangazo ya bidhaa na huduma ni moja ya njia bora za kuvutia wateja na kujitangaza. Hata hivyo, kuna mwelekeo mbaya unaozidi kuonekana miongoni mwa wajasiriamali na wamiliki wa biashara ambapo wanatangaza bidhaa na huduma zao, lakini hawaweki wazi kuhusu...
  3. Naibu Waziri wa Nishati, Kapinga azindua Namba Mpya ya Huduma kwa wateja TANESCO

    Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, ameizindua rasmi namba mpya ya bure ya huduma kwa wateja wa TANESCO, 180. Uzinduzi huo umefanyika leo, Machi 12, 2025 ambapo Mhe. Kapinga alipata fursa ya kuongea moja kwa moja na mteja kupitia mfumo huo mpya wa mawasiliano. Huduma hii inalenga...
  4. Hatimaye TANESCO wazindua namba mpya 180 ya huduma kwa wateja ya bure

    Katika kuhakikisha TANESCO unahudumia wateja wake kwa haraka na kwa ufasaha, wamezindua namba mpya 180 ya kupiga bure masaa 24. Havi karibu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alieleza kutoridhishwa kwake na Kituo cha Huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme Tanzania...
  5. M

    Tunapowahamishia watu wilaya nyingine turahisishe huduma

    Mkoani Ruvuma kuna kijiji kinaitwa mlilayoyo ambacho kipo wilaya ya Namtumbo kihuduma za kiserikali. Lakini cha ajabu kutoka hapo kijijini kuelekea Mamtumbo hqkuna gari ya kwenda halmashauri ya wilaya kupata huduma kwahiyo watu hawa wanazunguka manispaa ya Songea ndipo waende kupata huduma za...
  6. B

    Benki ya Exim Yazindua Huduma ya Lipa ChapChap Kuongeza Malipo ya Kidijitali na Ushirikishwaji wa Kifedha

    Mkuu wa Idara ya Wateja Wadogo na Kati wa Benki ya Exim, Bw. Andrew Lyimo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma mpya inayojulikana kama Lipa Chapchap, suluhisho bunifu la malipo ya kidijitali ambalo linarahisisha miamala kwa biashara na watu binafsi...
  7. Benki gani inatoa huduma ya Recurring Depost hapa Tanzania?

    Naomba msaada kwa Tanzania Benki gani inatoa huduma hii ya Recurring Depost? Nimejaribu kutafuta maelezo kwenye mtandao sijapata. Nahitaji sana hii huduma
  8. Huduma ya choo kwenye mabasi ni changamoto

    Nimesafiri na mabasi kampuni kadhaa ambazo sitazitaja Kwa majina ili kutochafua biashara zao Nimejihakikishia kwamba Kwa Hapa nyumbani ustaarabu wa kutumia vyoo ndani basi gari likiwa safarini Bado hatuwezi tukubali tu Ni heri ukasafiri na bus lisilo na choo ndani kuliko kulipa pesa nyingi ya...
  9. TASHICO: Ni kweli huduma za Meli ya MV Victoria zimesimama kwa ajili ya service ya kawaida

    Baada ya hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu kusimama kwa huduma ya Meli ya MV Victoria, ufafanuzi umetolewa, kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Nimekosa huduma ya Meli ya MV. Victoria, inadaiwa haifanyi kazi wiki ya pili sasa, Mamlaka mbona mpo kimya? MAELEZO YA KAMPUNI YA MELI...
  10. Utaratibu wa huduma rafiki kwa Watu wenye mahitaji maalumu katika Mabasi ya mwendokasi umeyeyuka?

    Kutokana na changamoto ambazo zimekuwa zinawakumba Watu wenye ulemavu pamoja na wale wenye mahitaji maalumu pindi wanapotumia usafiri wa umma, Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar (DART) ilijipambanua kwa kuzingatia kipaumbele cha huduma rafiki kwa makundi hayo suala ambalo lilipigiwa chapuo...
  11. Naomba kupata list ya watoa huduma Fiber Dar es Salaam

    Habari waungwana Naomba kujua watoa huduma ya Fiber Dar es salaam, kama utakuwa na mawasiliano yao itakuwa poa ukiweka ikibidi na bei za huduma zao pia. Naomba kuwasilisha.
  12. Mfumo wa usambazaji fiber (mkonga ) TTCL umekosa plan japo wana huduma nzuri ya internet

    Katika shirika ambalo kampuni za simu nyingi utumia kama shamba la bibi ni TTCL. Ukija kwenye huduma za fiber yani hawana tofauti na Shirika la maji na mabomba yao kwenye usambazaji. Kunapotokea njia ndefu za kupeleka fiber yani ni kama zimewekwa tu kupeleka huduma. Ili linawakumba sana...
  13. Naibu Waziri Mahundi awatembelea majeruhi wa ajali Mbeya, apongeza huduma za Hospitali

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amewatembelea majeruhi wa ajali iliyohusisha basi la CRN na Gari la miundombinu ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya iliyosababisha vifo vya watu wanne na majeruhi watano. Miongoni mwa majeruhi waliotembelewa...
  14. MANAWASA yakiri Mji wa Nachingwea una changamoto ya upatikanaji huduma ya maji

    Februari 25, 2025 Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mji wa Nachingwea una changamoto ya huduma ya maji kwa zaidi ya miezi minne, hali ambayo imekuwa kero kwa Wananchi wengi, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Masasi – Nachingwea (MANAWASA) imetoa ufafanuzi: Kusoma alichoandika...
  15. Natoa huduma ya Typing / Kuchapa Documents

    Kwa gharama nafuu ya Tsh.500/= kwa Ukurasa / Page, kazi yako ya nitaifanya kwa haraka, umakini na weledi, kwa kuzingatia usiri (Confidentiality) Procedure/Maelekezo Tutawasiliana kupitia. Namba 0623066006 (piga/whatsapp) Kisha utanipa maelekezo ya kazi yako (mf. Ripoti / Mitihani iliyoandikwa...
  16. Je, Bima ya Afya Inapaswa Kuwa Mali ya Serikali ili Huduma za Afya Ziwe Bure?

    Huduma za afya bure ni ndoto ya kila taifa linalotaka kuboresha ustawi wa wananchi wake. Tanzania inaweza kufanikisha hili ikiwa kila Mtanzania atachangia kiasi kidogo cha fedha kila mwezi kupitia bima ya afya ya umma. Mfano, ikiwa kila raia atachangia TZS 2,000 kwa mwezi, makadirio yanaonyesha...
  17. Mix by Yas mnatutesa sana kuanzia huduma zenu mpaka hao huduma kwa wateja yenu

    Hizi siku tatiu NImEKUWA na shida sana na mtandao WA max yas Imefika wakati UNANUNUA luku token za. Tanesco huzion Unapiga OFISIN mfanyakazi anawaza kupokea simu 10 mins kama ANAPOKEA condom Sio hayo tu HATA kununua bundle imekuwa shida Na Hilo bundle ukinunua kulifanyia kazi shida una gb 1...
  18. R

    Taasisi zinazohitaji tujaze fomu za karatasi taarifa zetu nyeti za NIDA ni hatari, taarifa zinaweza Kutumika kwenye utapeli, wizi, kuomba mikopo, n.k.

    Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA. Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali mtandaoni, n.k. huwa unajaza Nida halafu baada ya hapo unaulizwa maswali matatu ya uhakiki mfano jina la...
  19. Hapo mwanzoni utendaji ulikuwa mgumu kutokana na kutumia majengo yenye ufinyu wa ofisi na kuchelewesha huduma kwa wananchi

    Hapo mwanzoni utendaji ulikuwa mgumu kutokana na kutumia majengo yenye ufinyu wa ofisi na kuchelewesha huduma kwa wananchi. Hali imebadilika baada ya Rais Samia kuwajengea jengo jipya la halmashauri ya Bumbuli ambalo limerahisisha huduma kwani lipo katikati ya halmashauri hiyo lakini linatoa...
  20. M23 yazitaka taasisi za kiserikali kuendelea kutoa huduma

    Jeshi la M23(siliiti kundi tena, kwa walivyofanya, wana hadhi ya kuitwa wanajeshi), huko Kivu kusini, limezitaka taasisi zote za kiserikali kuendelea kutoa huduma kama kawaida. Kuna taasisi ambazo, wafanyakazi walikimbia na kwenda mikoa au nchi jirani, wengine wakienda Kinshasa jijini. Baada tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…