huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. SoC04 Kuna nafasi kubwa kwenye Huduma za Afya za Kidigitali kwa Tanzania kusaidia sekta ya afya

    Maono ya Kibunifu kwa Huduma za Afya za Kidigitali kwa Tanzania: Miaka 5 hadi 25 Ijayo Utangulizi Katika dunia ya sasa inayozidi kuwa ya kidigitali, Tanzania ina fursa kubwa ya kuboresha huduma zake za afya kupitia matumizi ya teknolojia za kisasa. Huduma za afya za kidigitali zinaweza kutoa...
  2. Agizo la Waziri Silaa la kuhamishia Huduma za Ardhi ofisini kwake laanza kutekelezwa Dodoma

    Mamia ya wananchi wamemiminika katika viwanja vya Ofisi za Halmashauri ya jiji la Dodoma kutatua madhila ya ardhi yanayowakabili ili watumie ardhi na muda wao kwa shughuli za kiuchumi kujiletea maendeleo. Akizungumzia zoezi hilo linaloendelea jijini Dodoma, Katherine Mwimbe Mwekezaji na...
  3. Huduma za Airtel Mobey ni mbovu sana

    Hii kampuni inatia hasara sana watu. Unatuma pesa inajibu UNFINISHED kwa maana ya jwamba haijakamilika kumbe pesa zimekwenda hivyo unajikuta unatuma mara ya pili. Unatuma pesa kwa mteja ujumbe hapati mpaka aanze kuangalia salio. Ni usumbufu mkubwa hasa kwa mawakala inabidi kampuni ifanyie kazi...
  4. Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora?

    Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
  5. H

    SoC04 Katika miaka mitano ijayo nakuendelea Taasisi za umma ziboreshe vitengo vya huduma kwa wateja

    Vitengo vya huduma kwa wateja katika mashirika, taasisi za umaa na kwenye serekali za mitaa vinapaswa kuboreshwa katika miaka mitano ijayo nakuendelea kwa sababu ndivyo vinabeba dhima ya utaoji wa huduma kwa wananchi Kwani kwenye baadhi ya taasisi za umaa Zimekuwa zikiacha kuweka mkazo kwenye...
  6. M

    SoC04 Katika kurahisisha huduma za jamii na maendeleo, serikali ichukue jukumu la kujenga minara ya mawasiliano maeneo yaliyoko mbali na miji (vijijini)

    Kutokana na umuhimu wa mawasiliano ya simu ya mkononi pamoja na internet iko haja kwa serikali kujenga miundombinu ya mawasiliano ya simu za mkononi na internet kwenye maeneo yote ambayo yako mbali na mijini ili kuyapunguzia mzigo wa gharama makampuni yanayotoa huduma za mawasiliano ambayo kwa...
  7. Y

    Huduma ya usafi na super cleaning service

    🧹 Karibu kwa Huduma ya Kusafisha ya Super Cleaning Service! 🧽 🏠 Tunatoa huduma ya kufanya usafi kwa majumba, ofisi, shule, na hata kumbi za starehe! Pia, tunajihusisha na kufua nguo majumbani, kunyoosha, na kufanya usafi wa jumla wa nyumba. 📍 Tupo Mbezi Beach Shule, hapa ndio makao yetu makuu...
  8. T

    Je, unahitaji huduma ya kujaziwa zabuni zako kwenye mfumo wa NeST ‘National e-Procurement System of Tanzania’?

    Je, wewe ni mkandarasi, mzabuni wa kusambaza vifaa, au mshauri elekezi wa miradi mbalimbali ya ujenzi na unahitaji huduma ya kujaziwa zabuni zako kwenye mfumo wa NeST ‘Nationale-Procurement System of Tanzania’? For more info: freelancer3518@gmail.com
  9. Gharama za ada ya usajili wa huduma za technolojia TCRA zinakatisha tamaa wabunifu wanaoanza (start-up innovators)

    Serikali kupitia mamlakaya mawasiliano nchini TCRA inahimiza wabunifu kubuni huduma mbalimbali za kiteknolojia ili kuchochea kasi ya maendeleo na kuboresha huduma ili kurahisisha maisha Lakini kikwazo kikubwa ni ughali wa leseni za usajili wa huduma hizo za kibunifu kwa wabunifu wanaoanza yaani...
  10. Video: Huduma kwa wateja Taasisi za Umma mbovu. Nimepiga simu Nest (PPRA) nusu saa hakuna anayepokea. Siasa zisiue huduma kwa jamii

  11. Serikali ya Zimbabwe yaipa Leseni Starlink kutoa huduma za Intaneti

    Mamlaka ya Udhibiti wa Posta na Mawasiliano (POTRAZ) imeidhinisha leseni ya utoaji Huduma za Intaneti kwa kampuni ya #Starlink inayomilikiwa na Bilionea #ElonMusk Taarifa ya Rais Emmerson Mnangagwa imesema "Uamuzi huu unatarajiwa kuongeza miundombinu ya Mtandao wenye Kasi ya Juu na ya gharama...
  12. SoC04 Huduma za Kiserikali zitolewe kupitia TEHAMA/Mtandao, kupunguza rushwa, gharama na lugha mbaya kutoka kwa baadhi ya watumishi wa umma kwa wananchi

    1. 0 UTANGULIZI. Habari zenu watanzania na wananchi wenzangu wa nchi yetu pendwa ya Tanzania? Nawasalimu nikiwa na furaha kubwa sana na nikiwa na lengo la kuchangia mawazo yangu kwaajili ya kuboresha zaidi huduma za serikali dhidi ya wananchi wa Tanzania ambao ndio sisi (Mimi na Wewe). Wengi...
  13. SoC04 Serikali iangalie namna nzuri na madhubuti ya kubaresha mtandao unaosuasua hususan na kuchunguza eneo ambalo lina shida katika utoaji wa huduma

    Kuelekea miaka 5 ijayo tz ijipange kuboresha huduma ya mtandao ili kuzuia uhalifu na matumizi mabaya ya mtandao hivyo serikali ichukue hatua kuboresha sekta ya mawasiliano ili kupata tija nzuri katika matumizi ya mtandao. Pia serikali iangalie namna ya kuboresha huduma za mtandao kwani...
  14. Pamoja na wingi wa abiria kwanini Mwendokasi umeshindwa kuongeza mabasi na kuboresha huduma?

    Huu mradi una maswali mengi ambayo binafsi ninakosa majibu. Tunajua na kutambua kwamba kuna gharama za uendeshaji wa mradi, ikiwemo kulipa mishahara wafanyakazi,mafuta, matengenezo n.k Lakini biashara yoyote ambayo ina wateja wengi kiasi kile, Nilitegemea mpaka sasa biashara hii ingekuwa imekua...
  15. Biashara itakayonitajirisha mwaka 2035: Uwekezaji wangu utajikita katika huduma ya mihemko (Euphoria)

    Euphoria a feeling or state of intense excitement and happiness. Habari wakuu, Hii ni Dira ya maendeleo binafsi kwa wapambanaji wote. Biashara inayozingatia uwekezaji ktk kutoa huduma za mihemko kisasa zaidi haiwezi kumtumpa mtu. Zifuatazo ni boashara zitakazo nitajirisha mwaka 2035...
  16. M

    SoC04 Changamoto katika huduma kwa watu wenye ulemavu nchini Tanzania

    Katika jamii ya watanzania kuna makundi mbalimbali ya watu wenye mahitaji mbalimbali yanayotofautiana, hata hivyo zipo njia mbalimbali za kuwafikishia mahitaji watu hao katika makundi yao. Makundi ya walemavu wamekuwa wahanga wa kutopata huduma sitahiki katika jamii kwa maana ya kiuchumi...
  17. S

    SoC04 Ushauri kwa Serikali juu ya kuongeza na kuboresha huduma za Ofisi za NIDA

    chanzo ni; yotube Hata sasa kwa Nchi ya Tanzania , Huduma ya upatikanaji wa namba za nida au vitambulisho vya nida bado imekuwa changamoto na mfumo huo kusumbua. Ofisi inayohusika na namba za nida utaikuta ipo wilayani tu au mkoani tu , yaani ofisi hizi za nida zinapatikana katika halmashauri...
  18. B

    TOA Tanzania yapata uwekezaji wa $30 Milioni kutoka BII za kupanua miundombinu ya mawasiliano na kuboresha huduma ya mawasiliano Tanzania

    ● Pesa zitatumika kujenga minara mipya 200 na kuongeza upatikanaji wa huduma ya mawasiliano vijijini ● Upanuzi wa miundombinu utaboresha upatikanaji wa mtandao, na kuongeza nguvu kwenye jitihada za serikali za kufikia malengo ya kidijitali, huduma jumuishi za fedha pamoja na kutoa nafasi za...
  19. Dunia yaipongeza Tanzania kwa mikakati iliyojiwekea ili kufikisha huduma ya Maji Vijijini

    TANZANIA YANG’ARA AJENDA YA MAJI KWA USTAWI WA WOTE,AWESO ATOA KAULI Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amemuwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kongamano la 10 la Maji Duniani (10th World Water Forum) linalofanyika Bali nchini Indonesia...
  20. A

    KERO TTCL ni sikio la kufa! Haiwezekani kwa zaidi ya miezi sita nimeomba huduma ya fiber nyumbani wananizungusha tu

    Habari za muda huu Wanajamvi, Hii Kampuni ya TTCL ni sikio la kufa na wala halisikii dawa tena, haifanyi vizuri kwenye mawasiliano ya simu kawaida wala kwenye Internet. Mimi nipo Dar es Salaam na nimeomba huduma ya kufungiwa internet nyumbani (fiber) na sasa yapata miezi sita ila sijafungiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…