CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida kimelalamikia ĥujuma za kukamatwa ovyo kwa viongozi wanaoendesha zoezi la usajili wa wanachama kidigitali unaoendelea kwenye majimbo saba ya mkoa huu.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Singida,Jackson Jingu, akizungumza leo (Julai 18,2024)...