Kwa watu waliowahi kusafiri na treni ya umeme toka ianze safari zake watakubaliana na mimi kuwa kwa hakika ni mradi mkombozi katika safari za haraka.
Ticketi yako ikionyesha unatoka Morogoro saa 12:30 asbh na kufika Dsm saa 2:01asbh yaani unafika muda huo huo uliondikwa. No delaying!
Hii kwama...