Nimeona baadhi ya wadau wakitoa maoni ati Kwa Hapa nyumbani TANZANIA hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haipo.
Kwamba ipo kwenye makaratasi ya hukumu tu
Wanasiasa wanawadanganya ati hawawezi kusaini hati ya kunyonga😅😃 yaani mwanasiasa anayemuuwa mpinzani, mpiga kelele tu aone huruma kusaini...
Serikali itazame hili suala kwa jicho la tatu, ukatili unaoendelea katika jamii ni unyama wa hali ya juu, watoto wadogo kubakwa na kulawitiwa paka kufa (mtoto wa miezi sita DODOMA), mauaji ya binadamu(Mganga aliyepatikana na miili ya watu aliowazika hai), watu kupotea katika mazingira tatanishi...
Mahakama ya Rufani ya Tanzania imebariki hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa washitakiwa watatu, Ibrahim Abubakar, Salima Abubakar, na Hadija Shio, ambao walikutwa na hatia ya kumuua kikatili aliyekuwa mjumbe wa nyumba kumi huko Kibosho Kirima, Moshi - Kilimanjaro, Mrh. Titus Sebastian Kimaro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.