Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Glory Nkwera ameiahirisha hukumu aliyotaka kuisoma leo Juni 28, 2024 katika kesi ya tishio la kuchoma Soko la Karume Jijini inayomkabili Christina Elisha na mwenzake, Mashauri Ulomi.
Glory ameahirisha kusoma hukumu hiyo kwa maelezo kuwa uandaaji wa...