human rights

Human rights are moral principles or norms for certain standards of human behaviour and are regularly protected in municipal and international law. They are commonly understood as inalienable, fundamental rights "to which a person is inherently entitled simply because she or he is a human being" and which are "inherent in all human beings", regardless of their age, ethnic origin, location, language, religion, ethnicity, or any other status. They are applicable everywhere and at every time in the sense of being universal, and they are egalitarian in the sense of being the same for everyone. They are regarded as requiring empathy and the rule of law and imposing an obligation on persons to respect the human rights of others, and it is generally considered that they should not be taken away except as a result of due process based on specific circumstances.The doctrine of human rights has been highly influential within international law and global and regional institutions. Actions by states and non-governmental organisations form a basis of public policy worldwide. The idea of human rights suggests that "if the public discourse of peacetime global society can be said to have a common moral language, it is that of human rights". The strong claims made by the doctrine of human rights continue to provoke considerable scepticism and debates about the content, nature and justifications of human rights to this day. The precise meaning of the term right is controversial and is the subject of continued philosophical debate; while there is consensus that human rights encompasses a wide variety of rights such as the right to a fair trial, protection against enslavement, prohibition of genocide, free speech or a right to education, there is disagreement about which of these particular rights should be included within the general framework of human rights; some thinkers suggest that human rights should be a minimum requirement to avoid the worst-case abuses, while others see it as a higher standard.Many of the basic ideas that animated the human rights movement developed in the aftermath of the Second World War and the events of the Holocaust, culminating in the adoption of the Universal Declaration of Human Rights in Paris by the United Nations General Assembly in 1948. Ancient peoples did not have the same modern-day conception of universal human rights. The true forerunner of human rights discourse was the concept of natural rights which appeared as part of the medieval natural law tradition that became prominent during the European Enlightenment with such philosophers as John Locke, Francis Hutcheson and Jean-Jacques Burlamaqui and which featured prominently in the political discourse of the American Revolution and the French Revolution. From this foundation, the modern human rights arguments emerged over the latter half of the 20th century, possibly as a reaction to slavery, torture, genocide and war crimes, as a realisation of inherent human vulnerability and as being a precondition for the possibility of a just society.

View More On Wikipedia.org
  1. THRDC waunga mkono na kuifafanua kwa ufasaha movement ya Watanzania ya NO REFORMS, NO ELECTION inayoongozwa na CHADEMA

    https://youtu.be/cQ8my9Fu7jU?si=8G2_TzDMHKYELqgD ➡Huyu hapa ni Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya kiraia ya kulinda na kutetea haki za binadamu - Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) Bwana Onesmo Olengurumwa akifafanua dhana dhima ya kauli mbiu ya kudai mabadiliko ya kikanuni...
  2. Ukatili:Mtoto wa Kimasai Achapwa Viboko Hadi Kurukwa na AKili.

    Siku ya Tarehe kumi na tano ya wiki iliyopita, katika eneo la Engaruka wilaya Monduli mkoani Arusha,palitokea tukio la Kinyama la mtoto wa Miaka kumi na Tano ajulikanae kwa JIna la Namasi kufungwa katika Mti na kuadhibiwa kwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake na kusababisha kupata majeraha...
  3. Q

    Pre GE2025 Wataalamu wa Haki za Binadamu wa UN watoa wito kwa Tanzania kumaliza ukiukwaji wa haki za binadamu kuelekea chaguzi za 2024/2025

    GENEVA (17 Oktoba 2024) – Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa Tanzania kumaliza ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea dhidi ya wanachama wa vyama vya upinzani, mashirika ya kiraia, waandishi wa habari, na watetezi wa haki za binadamu. Katika kuelekea uchaguzi...
  4. Human Rights Watch: Tanzania izingatie haki za binadamu kabla ya uchaguzi

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuondoa hali ya kuzorota kwa hali ya haki za binadamu kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Taarifa iliyotolewa Jumatano na shirika hilo, imeeleza kuwa tangu mwezi...
  5. Wafichuzi wa maovu wazidi kukabiliwa na hatari Afrika

    Bakari Ubena - Dw Swahili Kumeibuka hali ya kutia wasiwasi barani Afrika ambapo watu wanaofichua taarifa mbalimbali hawapatiwi ulinzi wa kutosha baada ya kufichua maovu, na mara nyingi watu hao hujikuta wakijipigania usalama wao na wa wapendwa wao. Wafichuaji hujikuta wakilaazimika kujilinda...
  6. Slave auction today 2024!Not one peep from the so called civilized society and human rights organizations.No media

    Slave auction today 2024!Not one peep from the so called civilized society and human rights organizations.No media MAY 19, 2024 Video below shows another "Sale" of children taking place today in the Congo. Local Africans grab the children from rival villages, march them to the mines, then...
  7. Human Rights Officer at OHCHR

    Organizational Setting and Reporting This post is found in the Office of the High Commissioner for Human Rights (OHCHR) Regional Office for East Africa and based in Dar Es Salaam, Tanzania. The incumbent reports to the Resident Coordinator and to the East Africa Regional Representative...
  8. Haki ya Kufa kwa Heshima: Wito kwa Sheria ya Haki ya Kufa kwa Heshima nchini Tanzania

    Haki ya kufa, mara nyingi hujulikana kama kujiua kwa msaada wa daktari (PAS), ni suala tata na nyeti. Hata hivyo, kupuuza mateso ya watu wanaopitia maumivu makali kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali kunakuwa kukosa kuheshimu haki yao ya msingi ya heshima(dignity). Katika uwanja wa haki...
  9. Wiki ya AZAKI: Kodi kubwa ni kikwazo katika maendeleo ya Dijitali

    Topic: Masterclass: Business and Human Rights in Digital Era. Speakers: Jovina Mchunguzi, Godfrey Munisa and Maxence Melo (JamiiForums) JamiiForums inashiriki katika CSO week inayofanyika Arusha ambayo inatarajiwa kuisha leo, Oktoba 27, 2023. Siku ya leo, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums...
  10. UN WOMEN: Ni muhimu kuwa na sheria na sera zinazosimamia na kuondoa ubaguzi wa kijinsia

    Sheria na sera zinazoendeleza usawa wa kijinsia ni msingi wa mabadiliko katika jamii. Nchi zinazoongoza kwa kuwa na sheria zinazolinda haki za wanawake zinapunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya unyanyasaji wa kijinsia. Kwa mfano, nchi zilizo na sheria dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia katika ndoa...
  11. Haki za Mtoto: Ni aibu kuwa bado kuna Watanzania wanaoa na kuoza watoto wakiwa bado tumboni

    Mila zimekuwa nguzo muhimu katika utamaduni wa jamii, zikichangia kudumisha uhusiano na kuleta umoja. Hata hivyo, katika hali fulani, mila hizi zinaweza kuwa chanzo cha madhara makubwa ambayo hayawezi kupuuzwa. Swali lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalum, Maryam Azan Mwinyi, kuhusu mila ya...
  12. Kuna Umuhimu wa Kujenga Jamii Inayothamini Usawa na Haki kwa Kila Mmoja

    Usawa wa kijinsia unahusisha kutoa fursa sawa na haki kwa wanawake na wanaume katika maeneo yote ya maisha. Hii inajumuisha fursa sawa za elimu, ajira, afya, uongozi, na ushiriki katika maamuzi. Hata hivyo, bado kuna pengo kubwa la kijinsia katika maeneo mengi duniani, na hili linaweza kuwa na...
  13. Usawa wa kijinsia ni msingi wa jamii imara yenye haki na ushirikiano bora wa kimaendeleo

    Kupata usawa wa kijinsia si tu suala la haki za kibinadamu, bali pia ni jambo linalochangia kwa kiasi kikubwa katika maendeleo ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Katika dunia ya sasa, jitihada za kuleta usawa wa kijinsia zimekuwa kitovu cha mijadala ya kimataifa na jitihada za serikali, mashirika...
  14. Human Rights Watch: Tanzania inakandamiza Wakosoaji wa Mkataba wa Ubinafsishaji Bandari

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema Mamlaka za Tanzania zimewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia makubaliano ya usimamizi wa bandari za Tanzania Mkataba huo utaruhusu...
  15. Watoto Wanaofanyiwa Ukatili Katika Maeneo ya Vita ni Waathirika Wasio na Hatia wa Vurugu za Watu Wazima

    Watu wengi wanafurahia utulivu na amani katika maisha yao, lakini kuna maeneo mengi duniani ambapo vita na migogoro inaathiri maisha ya watu, haswa watoto. Watoto wanaotendewa ukatili katika maeneo ya vita ni waathirika wasio na hatia ambao wanakabiliwa na madhara makubwa ya kiakili, kimwili, na...
  16. Haki za Binadamu ni Muhimu Kulindwa kwani Zinahakikisha Usawa, Heshima, na Hadhi ya kila Mtanzania

    Haki za binadamu ni msingi muhimu katika maendeleo na ustawi wa jamii. Ukiukaji wa haki za binadamu si jambo la kuchukulia mzaha, na inahitaji tahadhari na hatua thabiti. Katika muktadha wa Tanzania, takwimu zinaonesha umuhimu wa kukabiliana na suala hili kwa dhati. Katika Ripoti ya Haki za...
  17. Ripoti LHRC: Haki za Watoto zilikiukwa zaidi Nchini Tanzania mwaka 2022

    Utafiti uliofanywa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) umeonesha kuwa Watoto ndio waathirika wengi wa matukio yaliyoripotiwa na kurekodiwa ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania kwa (47%), wakifuatiwa na wanawake (33%), wazee (10%) na Watu wenye Ulemavu (4%). Pia, kwa...
  18. SoC02 Euthanated Education

    ELIMU YA KITANZANIA NI TIKETI YA KWENDA DUNIA MPYA Tanzania ni kati ya nchi hapa Africa ambazo zinapigana kukuza elimu yake ila bado ina changamoto nyingi. Wengi husema “Elimu ndio ufunguo wa maisha “ ila Watanzania wengi hupotea kwa sababu ya mfumo mbovu wa elimu ulioekwa na serikali ya...
  19. Human Rights Watch: Morocco inawafunga Waandishi wa Habari ili kuwanyamazisha

    Watetezi wa Binadamu wa Human Rights Watch( HRW) wamesema Morocco inawafunga waandishi wa habari kwa mashtaka yasiyo ya kisiasa ili kuwanyamazisha, baada ya Omar Radi na Soulaimane Raissouni, kuhukumiwa karibu miaka 5 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono Pia mwaka 2018 Taoufik Bouachrine...
  20. Mahakama yaiomba Urusi kutowanyonga waingereza waliojisalimisha

    Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binaadamu (ECHR) imeitaka Urusi kuzuia hukumu ya kunyongwa kwa raia wawili wa Uingereza waliohukumiwa kifo katika eneo la Mashariki mwa Ukraine. Waingereza hao Shaun Pinner na Aiden Aslin waliohamishia makazi yao Ukraine na kujiunga na jeshi la Nchi hiyo mwaka 2018...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…