Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.
Polepole ni mwana CHADEMA mzuri na hajawahi kurudisha kadi yake, Bashiru ni mwana CUF kindakindaki.
Wenye CCM ni kama hawawataki, kwanini wasiondoke?
Sasa Chenge aliyekatwa na Bashiru na Polepole ndio anakuwa spika. Vifaranga wa bata (Polepole na Bashiru), hawawezi kukaa na vifaranga wa kuku
Kuna sababu nyingi sana za kuwaambia kua mtakwama sana kukivuruga chama na serikali, sababu kuu ni hizi;
1.Ninyi ni wageni kwenye chama hamjui historia na itikadi za chama nyie.
2.Mmejaa visasi na roho mbaya
3.Dola ni kubwa kuliko kikundi chenu
4.Chama ni kikubwa kuliko nyie
5.Kuna wakati ni...
Ni fact kuwa tulipokuwa tunaelekea uchaguzi wa mwaka 2015 CCM ilikuwa hoi bin taabani katika taswira yake kweye jamii.
Alihitajika mwamba wa kuikomboa.
Nampongeza Mhe Jakaya kwa kutulutea JPM ambaye aliiheshimisha CCM. Katika harakati za kampeni Magufuli alikiri kuwa wapo wana CCM waliokuwa...
Nawasalimu wadau wote wa jukwaa hili; ninaomba tushirikiane kwa pamoja kuangalia jambo hili kutoka pande mbalimbali na kuona kama linaweza kuwa ni uamuzi sahihi kwa majira haya ambayo taifa letu limefikia sasa.
Wote tunakubaliana kuwa kila jambo huwa na mwisho wake na historia inajengwa na...
Nilipokuwa Katibu Mwenezi wa CCM tuliwaambia watanzania wawe makini na CHADEMA, tuliwaambia wawe makini na chama kinachoendeshwa kisanii kwa hoja mpechempeche na propaganda nyepesi, muda ni mwalimu mzuri, leo ukweli unajianika na CHADEMA wanaumbuka. Chama kimepoteza mvuto, Press zisizo na tija...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.