Unaambiwa kigezo kikuu cha kazi za serkali za mitaa ni kujitolea kama huna kazi isiombe utakuwa huna vigezo wao ndio wakiomba walikataliwa ukosa vigezo wanaanza kulia lia tu.
Chama kisichofuata hata ishu ndogo kama hizi kitaweza kweli kusimamia mambo ya maana ya siri na nyeti kitaifa na...
Wakuu
Ukiulizwa unapiga mishe gani we wambie watu unapga kazi fulani.
Usiwambie sina kazi wanaanza kukuepuka
Kumbuka kua
1.Kila mtu anahitaji mchongo
2.Kila mtu anahitaji connection
3.kila mtu anajisogeza kwa mwenye uafadhari
4.Kila mtu anataka ajuane na mtu mwenye msaada hata kwa baadae
5.Kila...
Wakuu habari za Jumapili,
Niseme, mwaka huu 2023 nimehitimu Shahada ya Umahiri ama Master's Degree kwenye fani ya uchawi na ushirikina chuo kikuu.
Kwenye kuisoma hiyo fani, kilichonishangaza sana na bado nazidi kushangaa ni kuona vijana wakisoma Shahada za Umahiri huku hawana kazi.
Najiuliza...
Mwanaume ukiwa huna kazi kuna namna mchumba ako anakuona ,tunaweka vitu vingi sana moyoni kias kwamba unaweza kuwa huna kazi huna ela lakin ukitaka kuzalaulika mwambia your fience !huna kazi ume haribu , unaweza ombwa pesa ukatoa vocha ukatuma lakin huna kazi mwanaume apewe heshima yake...
Hii tabia ya kulea watoto kimayai mayai tofauti na maisha ya kiuhalisia ya hapa kwetu wanayoyaishi wengi inaweza kuja kum gharimu sana mtoto.
mtoto anafuliwa nguo, mtoto haoshoi vyombo, mtoto anakula vyakula vya sherehe kila siku, shule ipo umbali wa dakika 10 anapelekwa na school bius, n.k...
Habari wana JamiiForums, kwa bahati mbaya au nzuri, mambo mengi ambayo naandika au natamani kushare humu yashaongelewa tayari , na hata hii kitu ambayo naandika saa hivi. Freelancing.
Though, approach nlioona inatumika na wengi ni tofauti kabisa na ile ambayo nimekuwa nikitumia hivyo naona ni...
Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"
Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha...
Natamani enzi naanza maisha ningeijuaga JamiiiForums au ningepata mawazo na idea ambazo nazitoa mimi kila siku au ninazokuta watu wamezitoa bure humu humu JF.
Leo nimekaaa nimewaza sana namna ya kumsaidia mtu aliekata tamaa hana pesa au kama anayo imebaki ya ngama yani ikiisha na hyo tu Ndio...
Ndugu, marafiki na majamaa wakijua tu umepata kazi simu zinaanza kuwa nyingi shida zinaanza kuwa nyingi Mara huyu akuombe 10000 huyu Mara ajifanye anakusalimia wakati kipindi huna kazi walikuwa hawakuoni.
Ila Ni kawaida kwa wale wenye ujasiri wa kuomba mtu hela binafsi. Mimi nina ndugu zangu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.