Wengi tunaamini wale watu wanaotuzunguka katika mazingira yetu ya kila siku ndio marafiki wa kweli; iwe tunakutana nao maeneo ya starehe kama bar, sehemu za miziki, harusini, au sherehe yoyote; iwe tunakutana nao makazini, idarani, chamani n.k; iwe tunakutana nao misibani, mahospitalini n.k, iwe...