Wanajamvi nawasalim,
Katika vitu nimejifunza tujitahidi sana kama vijana kufanya kazi kwa bidii huku tukiwaandalia watoto wetu mazingira mazuri ya biashara, kama umemsomesha aje kuajiriwa basi fanya juu chini tengenza connection.
Vijana wengi baada ya kumaliza vyuo na kutofanikiwa kupata ajira...