Habari za wakati huu wana jamiiforum, Rejea kichwa cha Habari hapo juu ni kwamba Nina tafuta mtu anayesoma katika Chuo Kikuu huria OUT, kozi ya procurement and supply ngazi ya Diploma lakini pia kama Kuna mtu utakuwa unamfahamu na hayupo humu basi waweza niunganisha naye PM ipo wazi,Ahsante.
Kufuatia hoja iliyoibuliwa na Mdau wa JamiiForums.com kuwa Chuo Kukuu Huria cha Tanzania (OUT) kimekuwa na kawaida ya kuchelewesha matokeo ya mitihani, ufafanuzi umetolewa kutoka chuo.
Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Chuo Kuu Huria hakitoi kwa wakati matokeo ya Mitihani, tunalazimika kutoa...
Habari za muda ndugu zangu.
Binafsi nimewiwa sana kujiendeleza kwa kusoma Masters katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University) kwani mbali na ubora wa elimu inayopatikana napo na kukifanya kiwe Chuo Kikuu cha pili Tanzania kwa ubora nimeamua kupapendekeza hapo kama chaguo langu la...
Mazingira ya Chuo Kikuu Huria, Kampasi ya Singida yanasikitisha sana kutokana na kuonekana kuwa duni.
Majani yameota hovyo hovyo.... mazingira mabovu hayavutii wala hamna hadhi ya 'Chuo Kikuu'.
Wakati wa mvua ndio huwa pabovu zaidi kwasababu eneo lenyewe lipo ziwani.
Pia sehem za kusomea...
Sasa ivi hii platform hovyo sana!
Kila nyuzi wanafuta!!
Hata nyuzi zisizo za siasa!!
Maoni binafsi
story binafsi
Yaan kifupi wanataka kila mtu awe mwandishi wa habar siyo sehemu tena ya ku interact.
Good luck Jf Nawa tabiria kifo by 2030
Balozi Ami Mpungwe ni moja ya makuwadi maarufu wa soko huria akianza awamu ya Mwinyi, Mkapa, Kikwete. Ni mtu ambaye anajihisi ana ukubwa wa tembo, na kuna watu wenye akili kama zake wanamuona gwiji.
Alianza kufanya ukuwadi wa Tanzanite yetu wakati akiwa balozi wa Tanzania Afrika Kusini. Baadae...
Mimi sio mwandishi mzuri bali mjitahidi kusoma hivyo hivyo
Baada ya vita vya kagera hali ilikua mbaya sana kiuchumi na ukizingatia kipindi hicho ussr inapumulia machine kiuchumi
Wale wenye akili timamu watakubaliana na mimi miaka ya 1980's mwanzoni hali ilikua ni ngumu sana kwa wananchi na...
Mkuu wa chuo, Mizengo Pinda, Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Joseph Kuzilwa, heshima yenu wakubwa.
Prof. Elifas Tozo Bisanda, Professor of Mechanical Engineering. Mbobezi katika renewable energy. Tafiti kuhusu...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Kwenda kwa:
Makamu Mkuu wa Chuo
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
YAH: MALALAMIKO YETU WANAFUNZI KUHUSU MATOKEO
Husika na kichwa cha habari
Sisi ni Wanafunzi wa Department of Mathematics, Information and Communication Technology kwa ngazi mbalimbali...
Anonymous
Thread
barua
chuo
chuo kikuu
chuo kikuu huriahuria
kikuu
utendaji
walimu
wanafunzi
wao
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Prof. Elifas Tozo Bisanda, ametanabaisha ya kwamba makao makuu ya OUT yanatarajiwa kuhamia jijini Dodoma baada ya kupata eneo na fedha kutoka serikalini kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET).
Prof. Bisanda, ametanabaisha...
Sera za kuendeleza na kukikuza kilimo ni lazima ziwe sera za kitaifa (zisizobadilika) na si sera za chama au hisia za Rais aliyeko madarakani.
Kilimo ni biashara na ili ifanye vizuri na kuvutia watanzania wengi ni lazima iwe wazi kuwa itakuwa kwenye soko HURIA, bei ijipange yenyewe kutokana na...
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimetakiwa kusimamia ubora wa elimu inayotolewa chuoni hapo ili kuhakikisha hadhi ya Chuo na elimu ya Tanzania kwa ujumla inalindwa.
Hayo yamesemwa leo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Mpango wakati alipotembelea Chuo hicho...
Aisee nimestuka sana, kwamba kuna mtu alitaka kuuza Chuo Kikuu Huria tawi la Kinondoni.
Tawi la Kinondoni ambalo lipo Biafra karibu na ofisi za Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria.
Je, kulikuwa na tapeli aliyetaka kuuza chuo?
Sababu hakuna mfumo ambao ni asilimia 100 na mifumo yote ni mchanganyiko tofauti tofauti napenda kujua watanzania wanapenda mfumo gani na mfumo upi unaweza kuwafaa?
Ubepari?
Market socialism?
Ubepari ukiwa na Soko Huria?
Soko Huria?
Command Economy?
Unknown (Yaani Made in Tanzania)
Au...
WENYE MAJUKUMU YA KAZI BIASHARA NA FAMILIA JIUNGENI CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA
Kama wewe ni mtu ambaye una majukumu ya kazi, biashara au ya kifamilia na unapenda kujiendeleza kielimu, njoo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ndipo mahali pake. Chuo hiki cha umma kinaendeleza watumishi wa umma na...
Kingsford na wenzake walikuwa wakijadili mpango wa biashara katika eneo la uvumbuzi na ujasiriamali wa mtandao wa internet la Fuxing City, huko Haikou, mji mkuu wa mkoa wa Hainan.
Kijana huyu kutoka Ghana alianzisha kampuni ya biashara ya kimataifa ya Kingsford ya Hainan mjini Haikou, na kuwa...
Baraza la Chuo Kikuu Huria, limekaa kikao cha dharura na kuagiza Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda aombe radhi kwa Wizara ya Elimu, Chuo Kikuu Huria na Umma kwa waraka wa tahadhari ya #CORONAVIRUS alioutoa Februari 8, 2021.
Prof. Bisanda alitoa waraka kuwatahadharisha wafanyakazi...
Wadau, hivi kuna ugumu gani sisi kama nchi tukawa na sera ya kuruhusu makampuni binafsi kusambaza na kuuza umeme kwa wateja badala ya makampuni haya kuruhusiwa kuzalisha umeme tu na kisha kulazimika kuwauzia TANESCO ambao ndio wenye haki pekee ya kusambaza na kuuza umeme hapa nchi?
Faida ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.