huru

The Chronicle of Huru (Romanian: Cronica lui Huru) was a forged narrative, first published in 1856–1857; it claimed to be an official chronicle of the medieval Moldavian court and to shed light on Romanian presence in Moldavia from Roman Dacia and up to the 13th century, thus offering an explanation of problematic issues relating to the origin of the Romanians and Romanian history in the Dark Ages. Publicized and endorsed by the Romantic nationalist intellectuals Gheorghe Asachi (who edited the published version) and Ion Heliade Rădulescu, it was argued to have been the work of Paharnic Constantin Sion (or another member of his family) or that of Gheorghe Săulescu, Asachi's friend and lifelong collaborator.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Mahakama ya Rufaa yamuachia huru mtuhumiwa aliyedaiwa kukutwa na heroine gramu 200.34, Bangi gramu 2.88 na vigae 3

    6 April 2023 Mahakama ya Rufaa Tanzania Dar es Salaam, Tanzania Jopo la majaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania chini ya jaji J.A Koroso baada ya kusikiliza rufani ya Mussa R. Magae, imetoa hukumu ya kumuachia huru Mussa Ramadhani Magae baada ya Mahakama ya Rufaa Tanzania kushindwa kushawishika...
  2. Baada ya Uhuru, Tanzania imewahi kuwa na uchaguzi mkuu HURU na HAKI?

    Tuanzie kwa Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere hadi uchaguzi wa 2025. Ni uchaguzi upi ambao ulikuwa huru na haki? Ikumbukwe enzi za Mwalimu, uchaguzi wa Rais ilikuwa ni Nyerere against kivuli. Hata baada ya vyama vingi hakujawahi kuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI ambapo kikundi cha waratibu wa wizi...
  3. UVCCM ninyi ni watu huru, acheni uchawa. Mnatuharibia Nchi yetu

    UVCCM ni umoja uliowekwa na kulelewa katika misingi ya kuimba mapambio ya kusifu na kutukuza watawala hata pale pasipo stahili sifa. ACHENI. Anaandika Almaliki Mokiwa. Tuweke mkazo katika kuifahamisha jamii juu ya ujio wa hiki kirusi kipya kinacho itafuna nchi yetu taratibu kinachoishi chini...
  4. Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru. Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae. Chanzo: Jambo...
  5. T

    Mjadala huru: Mfumo wa kumpata Makamu wa Rais unatufaa kama Taifa?

    Kila jambo linapotokea kwenye mwelekeo wa maisha ya mtu, kawaida huwa linaleta fundisho la mbele yake ya safari. Elimu ya maisha wakati mwingine huhusisha pia, misukosuko, kufiwa n .k hii yote ni katika kuyaelekea mazuri ya ndoto yetu. Kwa hapa Tanzania kulingana na yaliyotokea, bila ya...
  6. M

    Aliyeshtakiwa kuua mke kwa kumchoma moto aomba mahakama imwachie huru

    Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38), anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa, ameiomba Mahakama Kuu imuachie huru kwa sababu hadi sasa hakuna ushahidi wa kutosha wa kumshtaki. Luwonga aliwasilisha ombi hilo jana mbele ya Jaji Obadia Bwegoge...
  7. MJADALA HURU: Nini kimeshusha Maadili kwa Viongozi wa Kuteuliwa?

    Viongozi, kumekuwa na mijadala kuhusu viongozi hususa, hawa wa kuteuliwa kutokuwa na maadili na matokeo yake kuonekana kama vyeo vya asante na shukrani kwa makada. Je, nini kimechangia kushusha maandali? Je, ni upatikanaji wao? Kutokuandaliwa vizuri kuja kuongoza ama ni kuteuliwa kwa kujuana...
  8. Wanandoa watimua mbio Mahakamani baada ya kuachiwa huru kwa kesi ya Bangi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi na kuwachia huru watu watatu wakiwemo wanandoa waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi gramu 66.70, baada ya kesi hiyo kuahirishwa kwa zaidi ya mara tano mfululizo bila kuendelea na usikilizwa wa upande wa...
  9. Wakati kelele za Katiba mpya zikikolea, Ni yapi makubaliano kwenye "Muundo wa muungano, Mahakama ya kadhi, Muundo wa Tume huru na Mamlaka ya Teuzi?

    Bila makubaliano na haya. Tutegemee kukwama tena
  10. Rais Kagame katupa taulo, shujaa wa Hotel Rwanda, Paul Rusesabagina kuachiliwa huru

    Welcome today’s release of Paul Rusesabagina. Thankful to know Paul will be rejoining his family soon. Grateful to the Rwandan Government for making reunion possible. Also appreciate assistance by Government of Qatar. Kazi kwenu ----- Paul Rusesabagina aliingizwa kwenye 18 za mtu mrefu, kisiki...
  11. Darasa huru

    Wakuu nimeamua kufungua huu uzi kwa lengo la kujifunza Mambo mbalimbali fikirishi na makubwa kwa lengo la kuongeza na kupanua uelewa wetu juu ya masuala mbalimbali ya Kisiasa,kiuchumi,kijamii,kiusalama,kiutamaduni yanayobeba dhima Nzima ya Utaifa ili kujenga Taifa Bora na Imara kwa kizazi Cha...
  12. Mahakama yamwachia huru aliyedaiwa kumuua Trafiki, Serikali imeshindwa kuthibitisha

    Mfanyabiashara Aman Elikana (38) aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya mauaji, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake. Elikana alikuwa akituhumiwa kumuua askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, mwenye namba...
  13. Wanahabari waachiwa huru katika kesi ya kumrekodi Rais akitokwa na haja ndogo

    Waandishi wa habari wawili kati ya wanne walioshikiliwa baada ya kusambaa kwa video ikionesha suruali aliyovaa Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit ikiwa imelowa hadharani ikitafsiriwa kuwa alikuwa akitokwa na haja ndogo wakati wa kusikiliza Wimbo wa Taifa. Jumuiya ya Waandishi wa Habari...
  14. R

    Je, mwenyekiti Mbowe ni mtu huru?

    Habari JF, Namekaa nimefikiria sana kinachoendelea Pale CHADEMA . Kwa hali ilivyo ya maisha ya Watanzania ilivyo ngumu wengine wakitegemea ajira za laana kama zilivyopewa jina na Lema na Tundu Lissu. Hivi Mbowe anatoa wapi nguvu za kuwasahau watanzania na kukaa pamoja na CCM ambao nenda rudi...
  15. Bora kuwa huru ukiendesha bodaboda Tanzania kuliko kuwa mfagia vyoo wa Canada

    Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao. Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu.
  16. Tafuta maarifa uwe huru

    Kwenye ubongo wako kuna haka kabutton kanaitwa NUCLEUS ACCUMBENS. Haka ndio kanakufanya unakuwa mtumwa wa pornography, mlevi wa kupindukia, madawa ya kulevya, kamari na kubeti, vyakula vya hovyo, na addiction nyingine zote. Ukicheza na haka kanakuharibia maisha for good!
  17. Moshi: Padri amshinda DPP kesi ya kubaka mwanafunzi na kuachiwa huru

    Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, Erasmus Swai amembwaga kortini Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) aliyekata rufaa dhidi yake kupinga uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Hai kumwachia huru padri hiyo katika kesi ya ubakaji. Januari 1, 2021 padri huyo alifikishwa mahakamani kwa mara ya...
  18. Joe Biden amesema Ukraine 'imesimama huru'

    Biden amesema Mataifa ya Magharibi hayana njama ya kuishambulia Urusi kama Putin alivyosema leo," Biden alisema. "Mamilioni ya raia wa Urusi wanataka tu kuishi kwa amani na majirani zao sio adui." Pia Biden amesema Nitarudia usiku wa leo niliyosema mwaka jana mahali pale pale. Dikteta aliye na...
  19. Kenya wana Katiba Nzuri, Tume huru ya uchaguzi, lakini Raila analalamika kuibiwa kura, na bei ziko juu, na tozo zimejaa

    Nadhani inabidi kuirejea hii ajenda ya katiba mpya, ni kweli wananchi wanaitaka au ni wanasiasa ndio wanaitaka? Kenya Wana katiba mpya, lakini bei za bidhaa ziko juu mpaka Leo Erick Omondi kaandamana Bungeni na akapigwa mabomu na kukamatwa. Na sisi wa katiba ya zamani bei ziko juu. Tozo ziko...
  20. Mfalme Zumaridi aachiliwa huru, amwaga uno mbele ya waumini

    Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ameachiwa huru leo Februari 18 baada ya kumaliza kifungo chake cha mwaka mmoja katika gereza kuu la Butimba, ambapo mahakama iliamuru atumikie mwezi mmoja gerezani baada ya kukaa mahabusu miezi 11. Credit: East Africa Radio
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…