Kila nikikaa kuangalia maisha ya mtu mweusi ulimwenguni, moyo unauma na hakuna dalili kuwa mtu mweusi akuja kuishi kwa furaha.
Tatizo lipo kwenye Ubongo wa walio wengi. Sample za kina Nyerere, Thomas Sankara, Lumumba, Nkrumah, Magufuli ni chache sana na zipinapigwa vita nje ndani.
Waafrika...