Kama una ofisi yako au biashara, usimuajiri mtu kwa kumuonea huruma. Ajiri kwa kuwa ana uwezo wa kukuzalishia na kukuingizia faida, katika biashara yako.
Wako vijana wengi wanaomba kazi kwa kigezo cha kuonewa huruma, atasema nategemewa na familia, mara mke, mara watoto nasomesha; sasa hayo yote...