husein bashe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo

    Na MWANDISHI WETU, IGUNGA WAZIRI wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (Mb) amemtumia salamu Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuwa awe na shukrani kwa serikali achezee sekta nyingine sio kilimo ambayo ni tegemeo kwa Taifa. Amesema chokochoko za uongo za mbunge huyo zinapogusa sekta ya kilimo hawezi...
  2. M

    Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA) Wajitetea kuhusu kupanda kwa Sukari. Hawajawahi kuficha Sukari, Si kazi yao kuagiza Sukari nje

    Hali ya Bashe sasa itadhidi kuwa mbaya baada ya Kilombero Sugar kutema cheche Wazalishaji sukari wavunja ukimya, wadai kutotendewa haki sakata la sukari Muktasari: Baada ya kushutumiwa kwa muda mrefu na kutajwa kuwa wao ndiyo chanzo cha kupanda kwa bei ya sukari nchini, umoja wazalishaji wa...
  3. Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya nchi! Yaani kivipi?

    Kitendo cha kuagiza mchele nje ya nchi siyo kitendo cha kukiacha kipite hivi hivi tu kama ni jambo la kawaida na halina maana yoyote. Jambo hili ni ishara mbaya sana na siyo dalili nzuri sana huko tuendako kama taifa. Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya...
  4. Ushauri kwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

    Kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri unayofanya wizara ya kilimo. Mimi ni kati ya wachache niliyewahi kutoa maoni kuwa Upewe Wizara ya kilimo na Alhamdulilah Mh. Rais akakuona na ukapewa uwaziri kamili. Kwakuwa nakujua wewe u mtu mchapakazi sana na unaejitoa usiku na mchana bila kuchoka, napenda...
  5. Ukiondoa Waziri Mkuu, anayefuata kwa kazi nzuri ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe

    Sijawahi kufuatilia kwa ukaribu kazi za huyu jamaaa anapotembelea wakulima hadi nilipoona akaunti ya wizara ya kilimo huko Tiktok. Kiukweli HUSEIN BASHE anafanya kazi nzuro sana ya kuwanyanyua wakulima! Ni vile tu Awamu ya TANO ilivuruga mifumo mingi sana hadi kwenye kilimo na hii inapelekea...
  6. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe zuieni uuzwaji wa chakula nje ya nchi, mfumuko wa bei unatisha!

    Mkuu Bei ya debe la mahindi kwenye baadhi ya vijiji nchini ni 25000/= hadi sasa, watu wameshaanza kula kwa kununua unga kwa kilo sh.1700 hadi sasa na hii ni Oktoba hatujui January hali itakuwaje! Fungeni mipaka hali sio nzuri kabisa, watu wasije kufa njaa, mfuko wa sembe ushafika sh.37000/=...
  7. Waliokuwa wafanyakazi New Habari waitaka Serikali imshinikize Rostam Aziz awalipe madai yao. Kuandamana nyumbani kwa Rostam na Bashe

    Wafanyakazi zaidi ya 200 waliokuwa wameajiriwa kwenye kampuni ya new habari(2006) limited inayomiliki magazeti ya Mtanzania na mengine wameiomba Serikali imshinikize mfanyabiashara maarufu, Rostam Aziz kuwalipa fedha zao ambazo ni mafao yao. Msemaji wa wafanyakazi hao, Arodia Peter amesema...
  8. Bashe: Spika Ndugai gombea tena ubunge 2025

    Bashe amemshauri spika wa Bunge Mh.Job Ndugai Kugombea tena ubunge 2025. Bado nashangazwa na hii tabia ambayo rasmi imeshajijenga kwenye serikali. Kwa nini mnawaza sana uchaguzi wa 2025? Ni miezi michache tu tumetoka kwenye uchaguzi wa 2020. Sasa badala ya kuanza kuleta Maendeleo kwa...
  9. S

    Mazao ya kimkakati na changamoto za masoko na kitaasisi

    Habari Tanzania! Leo naomba nilete mada inayohusu changamoto zinazojitokeza katika Mazao ya Kimkakati yanayolimwa katika mikoa mbalimbali kama vile: Korosho, Chai, Kahawa, Alizeti, Mawese, Karanga, Nazi, Ufuta, Mkonge n.k Changamoto zinazokumba mazo haya ni za Kimasoko na Kitaasisi, sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…