Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Hussein A. Kattanga kuwa Mtendaji Mkuu wa Idara ya Mahakama kuanzia tarehe 1 Julai, 2012.
Uteuzi wa Bwana Kattanga ni sehemu ya utekelezaji wa Muundo Mpya wa Mahakama, na utekelezaji wa Sheria ya...