hussein ally mwinyi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Watoto wa wakubwa hawasemwi vibaya kwanini Januari Makamba tu?

    Kuna maneno yanasemwa sana humu JF kwamba watu wanamuonea wivu Januari Makamba ndio maana wanamkosoa juu ya utendaji wake wa kazi ni kwa sababu tu ametoka kwenye familia bora ya uongozi Watoto wa Mwalimu JK Nyerere kina Makongoro Nyerere RC wa Manyara mbona hawana kesi na umma na hawasemwi kwa...
  2. Elitwege

    Rais Dkt. Mwinyi anafaa kuwa Rais wa Tanzania

    1.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kimaendeleo, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24. 2. Wakati Tanzania bara Makamba akipandisha bei ya kuunga umeme mpaka zaidi ya laki 9, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi...
  3. J

    Happy Birthday Dkt. Hussein Mwinyi

    === Kila lenye heri Mzalendo wa kweli wa Taifa hili Rais Dkt Hussein Ally Mwinyi. Mungu akupe miaka mingi zaidi ya baraka na furaha ili uwatumikie zaidi na zaidi masikini wa Taifa hili wa Visiwani na bara,
Back
Top Bottom