Wakuu,
Kuna huyu mtumishi hapa kaandaa maombi kwa watumishi wa umma ili waweze "Kudumu kwenye nafasi zao" eti katikati ya vita.
Tayari hapa ameshawaandaa kisaikolojia kuwa kazini kwako kuna mtu/watu wanakuwekea kauzibe, kuna watu wanakuroga, kuna watu wanakuwekea mavitu sehemu yako safari...