hybrid

A hybrid vehicle is one that uses two or more distinct types of power, such as submarines that use diesel when surfaced and batteries when submerged. Other means to store energy include pressurized fluid in hydraulic hybrids.
The basic principle with hybrid vehicles is that the different motors work better at different speeds; the electric motor is more efficient at producing torque, or turning power, and the combustion engine is better for maintaining high speed (better than a typical electric motor). Switching from one to the other at the proper time while speeding up yields a win-win in terms of energy efficiency, as such that translates into greater fuel efficiency, for example.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Yajue Magari ya Hybrid

    Magari ya Hybrid: Uzi huu ni maalum kwa Wasiojua Magari ya hybrid wapate kuyafahamu Katika ulimwengu wa magari, teknolojia ya hybrid imekuwa moja ya mabadiliko makubwa ya karne ya 21. Lakini hybrid ni nini hasa? Hebu tuchambue kwa urahisi, hatua kwa hatua, ili kila mtu aweze kuelewa. Hybrid ni...
  2. New Guinness World Record: Hybrid kutoka China imetembea Kilometa 2,200 bila kuongezwa mafuta!

    Ni kutoka China tena. Kampuni ya magari kutoka China ya Roewe wamevunja record ya Dunia kwa kutembeza gari lao la D7 zaidi ya Kilometa 2,200 bila kujaza mafuta wala kuchaji. Ni Plug-in Hybrid inayokuja na engine ya 1.5 L petrol inayotoa 110 hp na electrical motor inayotoa 200hp, na ikiwa na...
  3. Chagua Hybrid Moja hapa: Toyota Prius vs Honda Insight!

    Wakuu. Bila kupepesa macho, kuna izi hybrid mbili kutoka Japan (Toyota Prius na Honda Insight) ambazo zinafanana na kutofautiana mambo mengi sana. Kwa kuanza zote naomba tutumie za mwaka mmoja, 2009 ambapo kwa Prius ndio alikua anaanza generation ya tatu na Insight yeye anaanza generation ya...
  4. Hivi kuna gari zaidi Vitz na Passo ambazo sio hybrid Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?

    Wadau Nataka kununua kigari cha kupigia misele hapa mjini. Yaani Nataka kila niendapo iwe ni mwendo wa kukanyaga Gia Tu. Je kuna gari zaidi ya Vitz na Passo Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?
  5. A

    Hybrid cars

    Nawasalimu wote jukwaani Kutokana na kuzidi kupaa kwa bei za mafuta napenda kujua zaidi kuhusu hizi hybrid cars. Ufanisi wake, uimara wake, consumption ya mafuta[nimesikia ni ndogo] na mengine mengi na je magari hAya ni rafiki kwa mazingira ya nchi yetu Mnaofahamu au kuwai kutumia gari hizi...
  6. Lamborghini waja na V8 Hybrid sportcar: Lamborghini Temerario

    Waitalia hawapoi, wakati juzi juzi tu wametoka kuzindua Lamborghini Revuelto (ipo sokoni kuanzia huu mwaka 2024) iliyomreplace Aventador (iliyotokea 2012 hadi 2023) sasa wamekuja na Temerario itakayoanza kuuzwa 2025 na inamreplace Lamborghini Huracan iliyokua sokoni kutokea 2014. Kidogo...
  7. Bugatti wazindua generation mpya, Bugatti Tourbillon Hybrid itakayomrithi legendary Bugatti Chiron!

    Muda hautoshi, vyuma vinatolewa kila siku. Kampuni ya Kibabe ya Magari kutoka Ufaransa, Bugatti wameamua kutuletea generation mpya ya gari yao itakayomrithi Bugatti Chiron aliekuwepo tokea 2016 na sasa officially imeachwa kutengezwa 2024, na tumepewa Bugatti Tourbillon. Hii gari ina cc 8300...
  8. Magari ya Hybrid yanayofanya vizuri Tanzania

    Huku bei ya mafuta ikiendelea kupanda kila kukicha ndani ya hii miaka mitano (kutoka Tsh 2100/= hadi sasa Tsh 3300/=) na hamna "dalili" kuona bei ikishuka, ni muda wa Watumiaji kubadirisha muelekeo (adaptation). Kwa wanaotafuta gari, ni bora kuangalia "Fuel Efficient cars" au "Hybrid cars" huku...
  9. Naomba kujua Jinsi Toyota Alphard Hybrid inavyofanya kazi na Ubora wake

    1. Je, ni full hybrid? 2. Inaweza kutembea kwa betri engine ikiwa iimezima. 3. Fuel conception ikoje.
  10. D

    Naomba Uzoefu wa Harrier Hybrid 2014-2015

    .
  11. 2008-2009 Toyota Crown Hybrid the Next trending Car in TZ

    Hili gari origin yake ni crown majesta, engine 3.5Ltr 😬😬lakini Usiiogope 😄😄maana ni HYBRID, mfumo wake ni CVT yaani kiufupi ulaji wake wa mafuta ni kama wa 2.0Ltr engine cars😋😋 kwa average ni 15km/ltr . Hii ni premium Edition ya crown iliyotengenezwa miaka iyo na kama tujuavyo kwa Majesta ndio...
  12. G

    2015 Nissan X-trail Hybrid Vs 2015 Honda vezel Hybrid gari zinazokuja kuteka soko kila eneo

    Nissan x-trail hybrid Honda vezel hybrid Gari zote ni cc chini ya 2000cc pia ni 4w drive consumption ya hybrid si chini ya 20km/l so nashauri kama unataka kaagiza gari basi zingatia hybrid cars kama hizo, maoni zaidi yanakaribishwa.
  13. Nauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa na nyama

    Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60 Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro. Wapo Majike 9 na Madume 9 Wote Wanauzwa Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu Tuwasiliane +255738141339 Text, Call or Whatsapp...
  14. INAUZWA Uyole Hybrid UH 6303 - Mbegu bora ya mahindi ukanda wa juu siku zote.

    RIETA SEED Tunakuletea Mbegu Bora ya Mahindi ya UH 6303 Hii inastawi vema sana ukanda wa juu hasa Mbeya, Songwe,Njombe, Rukwa, Katavi na Njombe. Mavuno mengi magunia 30 kwa eka. Ni tamu kuchoma, hutoa unga mwingi. Bei: sh 4,500 kwa kilo. Unahitaji kilo 10 kupanda eka moja Tupigie 0755325442
  15. M

    Migori County Hybrid Solar System Installation( 5.76Kw)

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…