hypersonic

In aerodynamics, a hypersonic speed is one that exceeds 5 times the speed of sound, often stated as starting at speeds of Mach 5 and above.The precise Mach number at which a craft can be said to be flying at hypersonic speed varies, since individual physical changes in the airflow (like molecular dissociation and ionization) occur at different speeds; these effects collectively become important around Mach 5-10. The hypersonic regime can also be alternatively defined as speeds where specific heat capacity changes with the temperature of the flow as kinetic energy of the moving object is converted into heat.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kishindo cha Hypersonic Missile za Urusi: Ndani ya pazia NATO wameiogopa sana Urusi: Matokeo yake ukraine imenywea!

    Ingawa kwa hadharani NATO bado wanajimwambafai lakini kiuhalisia wamenywea sana!! Tangu hypersonic missile ya Urusi isambaratishe kiwanda cha kijeshi cha kutengenezea makombora/missiles, hautaisikia tena Ukraine ikiishambulia Urusi kwa kutumia makombora ya masafa marefu waliyoruhusiwa na...
  2. enzo1988

    Wamagharibi wanajadili Hypersonic missiles za Iran! Hawaamini kama anazo!

    Mara baada ya madhara kutokea huko Israel kufuatia mashambulizi ya makombora kutoka Iran,wataalamu wa makombora kutoka magharibi wanatoa sababu mbalimbali. Miongoni mwa sababu hizo ni kutumika kwa makombora ya Hypersonic ambayo mpaka sasa hakuna teknolojia inayoweza kuyatungua! Walikuwa...
  3. Webabu

    Houth waanza kumiliki makombora ya Hypersonic

    Takriban wiki tatu zimepita tangu wanamgambo wa Houth watangaze wanakusudia kutoa habari ya kushtua nyoyo. Habari hiyo haikufahamika hata pale nyaya mbili za data za intaneti za chini ya bahari ziliponyofolewa ambapo wanamgambo hao hawakutoa taarifa yoyote ya kuhusika kwao kama wanavyofanya...
  4. MK254

    Hongera kwa mfumo wa patriot, umeshusha chini mizinga ya hypersonic sita za Mrusi

    Kyiv haipigiki, ptriot ipo imara.... Six hypersonic Russian missiles were shot down over Kyiv on Friday, the Ukrainian air force has claimed. The Kinzhal missiles were accompanied by a further six Kalibr cruise missiles and two drones, which the air force further stated had also been downed...
  5. MK254

    Zaidi ya drones 40 zapigwa chini, Kyiv haipigiki sio kwa drones wala hypersonic

    Mifumo ya ulinzi wa anga Kyiv ipo imara sana, yaani drones za Iran na hypersonic za Warusi zimekua kama toy... Yaani usiku wa kuamkia leo zaidi ya drones 40 zimepigwa chini.... Ukraine's capital was subjected to the largest drone attack since the start of Russia's war, local officials said, as...
  6. I

    Namna ilivyo vigumu kwa mfumo wa ulinzi wa anga (Patriot) kuharibiwa kabisa na kombora la Hypersonic (Kinzhal) Missile

    Tofauti na wengine wanavyofikiri, ni vigumu sana kwa kombora la Hypersonic (Kinzhal) kuharibu kabisa mfumo wa ulinzi wa anga kama Patriot Air Defense System. Mfumo huu wa ulinzi wa anga kwa namna ilivyotengenezwa kufanya kazi haikai sehemu moja bali ina mifumo kadhaa ambazo huwekwa maeneo...
  7. GUSA ACHIA BAHASHA GOLI

    Wanasayansi wa hypersonic wafungwa 🤣

    Walimdanganya putin hypersonic hazitunguliki wala hazionekani kwenye rada Jisomeeni wenyewe nimecheka sana 🤣 Kile kindunje kazi ipo
  8. S

    Marekani yafeli tena kwenye kutest kombora la Hypersonic

    Marekani imeendelea kudhalilika tena kwenye kuisaka teknolojia ya makombora ya Hypersonic. Jana Jumanne jeshi la anga la nchi hiyo ambayo imekuwa ikijigamba na kupaishwa kuwa iko mbele ya Urusi na China kwenye teknolojia za silaha za kivita imeshindwa tena ktk jaribio lililofanywa la kuisaka...
  9. HERY HERNHO

    ICC yaingiwa na wasiwasi baada ya Urusi kusema itaipiga na makombora ya Hypersonic

    ICC ina wasiwasi na 'vitisho' vya Urusi juu ya kibali cha Putin Wasi wasi huo unakuja baada ya Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev kutishia kuipiga mahakama ya uhalifu wa kivita kwa makombora ya hypersonic. ========= The International Criminal Court (ICC) has expressed concern over...
  10. 5

    Marekani wajaribu Hypersonic weapons successfully

    Itakumbukwa kwamba Putin alisema hii ni silaha ambayo haipo katika taifa lolote isipokuwa Russia, nadhan sasa yametimia...
  11. britanicca

    Siri yafichuka Kumbe marekani inamiliki Hypersonic bomb miaka kibao iliyopita bila Dunia kujua:Kremlin wasema

    Kremlin has a secret, undisclosed data repository that includes information collected about NATO and USA, on the issue of owning Hypersonic bomb many years before the world being aware of this KOMOVA said Thursday. While neither the USA nor NATO would disclose it
  12. S

    Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

    Mpango huo utakuwa sehemu ya ushirikiano wa AUKUS, mkataba wa usalama uliotangazwa na nchi hizo tatu mwaka jana. Nchi hizo tatu (Uingereza, Marekani na Australia) zimelalamika kuwa mataifa pinzani yakiwemo Russia, China na North Korea yameshawaacha mbali ktk teknolojia ya makombora ya...
  13. profesawaaganojipya

    Urusi yatumia kombora la kisasa la hypersonic, huko Ukraine

    Russia imetumia kombora la kisasa kabisa lisilozuilika la hypersonic, kuharibu ghala la silaha nchini Ukraine. USA NA NATO hawana mfumo wa kuweza kulizuia au kuliangusha kombora hilo, NATO wote tumbo joto, USA anajipendekeza kwa mchina ili amgeuke Russia, na Mchina kakomaa na swahiba wake...
  14. S

    Putin asema makombora yake ya hypersonic yasiyo na mpinzani yapo tayari kutumika vitani sasa

    Rais Putin leo ameonya kuwa makombora yake ya hypersonic (hypersonic missiles) yapo tayari kuvurumishwa. Ktk video ameonya kuwa makombora hayo ya hypersonic yasiyo na mlingano (nadhani akusudia kuwa hakuna makombora mfano wake toka kwa US na NATO) diniani tayari yameingizwa kwenye mapambano...
Back
Top Bottom