hyundai

  1. Gear box ya Hyundai tucson inahitajika

    Natafuta gia box ya Hyundai tucson automatic mwenye nayo ani pm tafadhali
  2. Hyundai na TVS waungana kutengeneza "Bajaji" za umeme. Zimekaa Unyama sana!

    Kampuni ya magari kutoka Korea Hyundai, wameungana na Muhindi TVS kuleta "bajaji" za umeme ambazo unaweza ukazitumia kwa business au usafiri private. Hyundai yeye atatoa engineering na technology wakati TVS atafanya assembly na marketing. Bei na specifications zaidi bado hazijawekwa wazi.
  3. Hyundai wamezindua “Hyundai Ioniq 9 SUV”: Ni moja ya EV kubwa la kibabe sana!

    Hyundai Ioniq series walifanya vizuri sana kwenye Ioniq 5 crossover, sasa wamewaletea Ioniq 9 SUV wapenzi wa EV. Ni moja ya chuma nzuri kwa muonekano wa nje na ndani. Ni nzuri kwa familia kubwa, ina rows 3 za seat, na watu zaidi ya 7 tunaweza kukaa ndani comfortably. Ina kuja na battery...
  4. Hyundai na Renault zitaanza kuassemble magari yao Kenya mwezi ujao

    Hyundai dealer to assemble locally THURSDAY APRIL 28 2022 Caetano, the local franchise holder of Hyundai and Renault cars, plans to start assembling the vehicles in the country from May, being the recent dealer moving to tap tax incentives in the automotive sector. The company said it is in...
  5. Hyundai Tecaran - Chuma Kama Chuma

    Hyundai Teracan 2990cc, Diesel Ni gari makini Sana. Bei yake imepoa na hata TRA ushuru ni mdogo ajabu. Changamka fursa. Usiseme hukuambiwa. USHURU 5.5m Tsh, Wese:Ddiesel, Spea bwerere, 7 seater SUV
  6. Hyundai kutengeneza Magari ya Umeme

    Spidi ya dunia kuhamia kwenye magari yanayotumia nishati ya umeme badala ya mafuta imekolea na sasa kampuni ya magari ya Hyundai ya Korea Kusini imeonesha mfano wa magari yake ya umeme ambapo gari lao halitokuwa na usukani bali fimbo ya usukani ambayo itakua ikijikunja ili Mtu aweze kuendesha...
  7. Kuna mafundi Hyundai Santa FE Tanzania?

    Kama kichwa cha habari hapo juu, naleta mjadala je kuna mafundi wa Hyundai Tanzania?
  8. Magari yanayopaa kuanza kutumika 2030

    Kampuni ya Hyundai imesema imepiga hatua kubwa katika kutengeneza magari yanayoweza kupaa, na kuwa ndoto yake ya kuwa na magari hayo inaweza kutimia kufikia mwishoni mwa muongo huu. Kampuni hiyo ya Korea Kusini imesema ina matumaini kuwa usafiri wa magari ya anga unaweza kuwa fursa kubwa ya...
  9. T

    Ushauri wenu unahitajika.

    Heshima kwenu wabobezi wa mambo haya. Naomba ushauri wenu kwenye kumiliki kati ya hizi gari mbili....ipi ni nzuri na nitaimudu? Binafsi nafanya kazi kwenye migodi, hivo ningelipenda kuwa na usafiri ambao ntadumu nao kwa muda mrefu unless mtu afike bei na kunivua. Land Rover RangeRover Evoque...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…