Nimekumiss wangu sana zamani tulipokuwa tunaandikiana barua za upendo kama hizi,
Uhali gani mpenzi ,
Tokea mchana sijakuona ,
Umeshindaje,,,,, wangu .
Moyo wangu ulikuwa mzigo na wasiwasi wangu ni hadi nikuone wewe,moyo wangu ni mwepesi pale nilipokuona wewe , mzigo uliokuwa moyoni umeutua...