iaf

No. 221 Squadron (Valiants) is an Indian Air Force fighter squadron and is equipped with Su-30MKI and based at Halwara Air Force Station.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ghafla iran imeanza kuchangamka! Tazama waalivyoishambulia ndege ya kivita ya IAF kwa ujasiri

    min -me secretarybird naona mmeamka sasa😁
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi mamilion wa sana'a wanaenda kukosa umeme kutokana na mashambulizi ya IAF

    Anachofanya myahudi ni kurudisha teke kutokana na ngumi aliyopigwa. Adui wa yemeni ni houthi na iran. Ila hawa vijana wa itikadi kali hawatakaa hawaelewe maana wamezoea fujo na mioyo yao ipo engineered tangu utoto kuichukia israel.
  3. JamiiForums Tanzania Hezbollah bado wapo kwenye mshtuko wa moyo hawaamini mashambulio yao yamefelije! Waliwahiwa mapema kiufundi na IAF

    Kanali Anan Abbas, Mkuu wa Udhibiti katika chumba kikuu cha operesheni cha Kamandi ya Kaskazini, alifichua katika mahojiano na chombo cha habari cha Maariv siku ya Jumanne kwamba operesheni ya hivi majuzi dhidi ya Hezbollah ilihitaji miezi ya maandalizi ya kina. "Hezbollah inajaribu kutathmini...
  4. JamiiForums Tanzania Hao kwenye picha wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha

    Hiki kikundi kidogo kwenye picha kimejumuisha Waziri mkuu, waziri wa ulinzi, IDF, Mossad, Shin bet na IAF wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…