Tamko hilo linafuatia mahojiano ya Khama kueleza kuwa ana taarifa Serikali ya Rais Mokgweetsi Masisi inapanga kumkamata na kumuwekea Sumu atakaporejea Nchini humo kutoka Afrika Kusini anakoishi tangu mwaka 2021.
Khama amesema Serikali ya Botswana inahofia ushawishi mkubwa alionao kuelekea...