Wasalaam,
Naomba kutoa wito kwa serikali hususani wizara ya kilimo chini ya Mheshimiwa Bashe kuanza mkakati kabambe wa kuwekeza kwenye kilimo cha mazao ya mafuta kama alizeti, karanga, ufuta, michikichi n.k
Kwa hali iliyopo ambapo nchi uzalishaji wa mafuta ya kula ni 45% na tunaagiza 55% bado...