ibada

Ibadah (Arabic: عبادة‎, ‘ibādah, also spelled ibada) is an Arabic word meaning service or servitude. In Islam, ibadah is usually translated as "worship", and ibadat—the plural form of ibadah—refers to Islamic jurisprudence (fiqh) of Muslim religious rituals.

View More On Wikipedia.org
  1. Israel iendelee na safishasafisha tukafanye ibada mji mtakatifu Yerusalem, December hii

    Shalom, Kwa kweli kama imqni nyingine zinakwenda Ibada miji mitakatifu yao kuanzia wa budha huko tibet bila shida kabisa Waislam huko Mecca na Madina Wahindi na Hindu yao huko Bombay na New dehri Basi Israel iendelee na safisha safisha mpaka miji ile muhimu ambayo magaidi wanajitapa ipo...
  2. DC Meatu asitisha shughuli za Ibada Makanisa yasiyo na vyoo

    Mkuu wa Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu Mhe.Faudhia Ngatumbura amesitisha shughuli za ibada katika baadhi ya makanisa Wilayani Meatu mpaka Makanisa hayo yatapokuwa yamejenga vyoo ili kuwanusuru Wananchi kuugua ugonjwa hatari wa Kipindupindu. Amezitaka Taasisi Dini Wilayani Meatu kuwa Mfano wa...
  3. Kuna mahusiano gani kati ya ibada na uwepo wa mishumaa?

    Wengi wetu tumekuzwa tukishuhudia mara kadhaa mishumaa ikiwekwa moto katika vipindi mbali mbali vya ibada. Jambo hili limekuwa likifanyika katika ibada za imani tofauti tofauti duniani tangu enzi na enzi. Lakini, si wote wanaweza kujua ni nini hasa maana yake, na wengine wamezoea kufanya hivi...
  4. Siku Muhimu ya Kuliombea na Kulipongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa Kudumisha Amani na Utulivu Nchini

    Mpaka sasa umoja, amani na utulivu wa wananchi katika kila kona na pembe ya nchi, ni imara na kuna usalama wa kutosha na wa uhakika sana. Hii ni ishara kwamba vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini, viko tayari kujitolea kulinda wananchi na viko imara zaidi. Hakuna kitisho cha vurugu...
  5. Ndoto mbili za kweli (ndoto za kichawi) - unashauriwa kufanya sana ibada

    💼MHADHARA WA 7 Wakati mwingine ndoto tunazoota usiku wakati wa kulala zinatokana na uchovu, mawazo, n.k. Lakini ndoto zifuatazo zinakuwa ni ndoto zinazoeleza matokeo ya kweli yanayotarajia kukutokea baadae. 1. NDOTO YA KWANZA Kuota mara kwa mara umekufa. Au kama umeoa/umeolewa unaota mara mwa...
  6. Waziri mkuu wa India asherehekea na kufanya ibada kuzaliwa kwa ndama katika makazi yake

    Waziri mkuu wa India, Narendra Modi amesherehekea pamoja na kufanya ibada baada ya kuzaliwa ndama wa ng'ombe mwenye alama nyeupe kichwani katika makazi yake ya 7, Lok Kalyan Marg. Modi alisema makazi hayo yamebarikiwa kwa ujio wa ndama huyo aliyempa jina la Deepjyoti(mwali wa moto). Katika dini...
  7. M

    Ibada za wakiristo mbona siku hizi zipo hivi?

    1. Utakuta baadhi ya makanisa saa 11 alfajiri yanaanza ibada kwa kutumia maspika makubwa yanayotoa sauti kubwa . kama unaishi Mitaa ya Mbabaga basi hadi Kongowe utasikia. na sio kama sauti ya mchungaji bali ni nyimbo na mziki wenye kurindima na kutikisha nyumba 2. Ukiwa kanisa lipo karibu na...
  8. Kazi ni utu, kazi ni ibada

    Habari wanazuoni, Leo Najaribu kutafakari juu ya; 👉Thamani ya mtu inajulikana kwa kiwango cha juhudi na ufanisi wake katika kazi,Pia tabia ya mtu na utu wake inaoneshwa vizuri zaidi kupitia jinsi anavyotekeleza majukumu yake ya kazi. Mfano hai 1.Swali la kwanza ukweni kijana anaetaka kumposa...
  9. R

    Wanasiasa wameingia rasmi kwenye mwaka wa harambee kwenye nyumba za Ibada; viongozi wa dini changamkieni fursa

    Tupo kwenye mwaka mmoja na nusu ambapo kamati za miradi na ujenzi za makanisa na misikiti zinapanga mipango mingi ya kukusanya fedha kwa wanasiasa Ni kipindi ambacho taasisi za dini uacha kuangalia uchafu wa fedha na kupima vyanzo vya fedha husika. Ni kipindi cha wanasiasa kupokea mialiko...
  10. Faida nilizipata baada ya kuanza kusoma neno la Mungu ( biblia)

    Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
  11. Jinsi ya kutambua ibada ya kweli isiyo ya kweli

    Katika ibada ya uaguzi nabii anakazana kukuambia nani kakuroga, ila katika ibada ya kweli mtumishi anakazana kukwambia nani kakuokoa.
  12. R

    Mwamposa avunja rekodi zote tangu Tanzania iwepo kwa Kujaza watu viwanja vyote vya KAWE Jijini Dar es salaam

    Nipo hapa Kawe Mungu wa Mwamposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam. Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto. Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja? Ukiwa...
  13. Nimepita hapa Kawe kwa Mwamposa, mbona wahudhuriaji karibu wote wanawake?

    Leo Kawe watu wanamwagika, nimeambiwa wamekuja kwenye maombezi ya Mwamposa na kukanyaga mafuta na watu leo watapona na kesi zote kwenye maisha yao zitakwisha. Kilichonishangaza ni kipengele cha jinsia ya wahudhuriaji, karibu wote ni wanawake. Yaani kwa takwimu uchwara katika kila watu 20 labda...
  14. MSAADA: Kusaidiana na Ibada

    Tusaidiane 🙏
  15. Kwa nini nyumba za watu wa imani hazina sehemu za ibada?

    Watu wa imani sala ndio kila kitu. Yaani wakati wasio na imani wanajisifia nyumba ni choo, wao wanatakiwa kusema nyumba ni chumba cha sala. Watu wengi wa kipato cha kati wakifikilia kujenga, ramani ni masterbedroom, chumba cha vijana wa kike, cha vijana wa kiume, choo cha ndani, sebule na...
  16. Nini Sababu Wasio Wakristo Kujaza Kwenye Ibada za Kilokole?

    Nimekuwa nikitazama sana vipindi vya kimahubili luningani hasa vya wale wachungaji wakubwa mno kama Vile Much Mwamposa wa Arise&Shine TV, Kuhani Mussa Richard wa JehovaJireTV nakadhalika. Katika nyakati za kutoa ushuhuda wa Yale waliyotendewa na Mungu, iwe uponyaji au kufunguliwa kutoka katika...
  17. Wanaume Ukraine waacha kwenda masokoni,mikahawani,shughulini na sehemu za ibada kuogopa kukamatwa kupelekwa mstari wa mbele

    Kaka Serhiy na dada Tania walikatisha kufanya harusi yao ufukweni mwa bahari wakihofia hali mbaya ya hewa.Hata walipoingia kwenye ukumbi walikoalkwa wageni kushuhudia harusi yao bado waligundua hali isiyo rafiki kwa furaha yao.Viti zaidi ya nusu vilikuwa ni vitupu ikiwa na maana waliohudhuria ni...
  18. A

    Michango ya ujenzi wa nyumba za ibada idhibitiwe!

    Unakutana na kundi la vijana wamevaa kanzu na kobazi wanakutaka uchangie ujenzi wa nyumba ya ibada huku mkononi kabeba karatasi yenye majina. NB: Hawana utambulisho wowote
  19. Starehe na kustarehe ndio ibada ya kweli ya mwanadamu

    Ndio maana His Majesty King David, the King of The United Kingdoms Of Israel and Judah, alisema " Nilifurahi walipo niambia twende nyumbani kwa Bwana" Ibada ya kweli ni starehe na kustarehe na sio kinyume chake. Watu walio tunga taratibu za ibada kwenye dini zetu hizi mbili kubwa ( Ukristo na...
  20. U

    Madai ya Nabii Elen G. White alifundisha kuwa kupiga picha ni aina ya Ibada ya sanamu yana ukweli kimaandiko?

    Madai ya Nabii Elen G. White alifundisha kuwa kupiga picha ni aina ya Ibada ya sanamu yana ukweli kimaandiko? Wadau hamjamboni nyote? Leo tena nimekuja na nukuu ya kiswahili na kiingereza ya Nabii mke wa Kanisa la Waadventista Wasabato Elen G. White inayoashiria kuwa "kupiga picha ni ibada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…