ibadilike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    kihistoria Yanga haijawai kupata zaidi ya point 8 kwenye makundi ya ligi ya mabingwa. Inapaswa ibadilike misimu ujao

    Yanga inapaswa tubadilike Haya maisha ya kutegemea kuvuka robo kwa point chache tunapaswa tuyaache. Hata msimu uliopita yanga tulivuna point 8 tu kwenye group stage. Makundi yote hakuna timu hata moja iliyovuka na point 8. Hata mwaka jana ni yanga peke yake ilienda robo na point 8. Katika...
  2. Lord denning

    Ili Tanzania ibadilike lazima haya yafanyike

    1. Katiba Mpya - Lazima itungwe katiba mpya yenye meno inayoweka hatua anazopaswa kuchukuliwa kiongozi endapo ataivunja. Katiba hii iweke misingi ifuatayo; a) Rais ateue Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Mawaziri tu- Akishateua lazima hao watu wathibitishwe na Bunge. Mawaziri wasiwe...
  3. L

    Simba ibadilike vinginevyo itaweka kambi ya kudumu Robo Fainali

    Nimekwenda uwanjani na nimefurahi tumeingia robo fainali. Lakini kiukwel bado naona kuna mapungufu katika timu yetu. Leo tungecheza na wakubwa kama Al Ahly au Mamelod au Petro au Esperance mambo yangekuwa magumu. Kwanini nasema hivi. Timu bado inafanya sana makosa nyuma, makosa ya dhahiri...
  4. Msanii

    Polisi ibadilike kabla muhula haujawadia

    Sisi veterans tunalishauri jeshi la polisi yafuatayo. Liache na kujitenga kutumika kisiasa Lijitathmini utendaji na utumishi wake kama linaishi kwa mujibu wa Katiba na Sheria inayoliunda Lisitumike na wenyenazo kuwanyanyasa wasionazo (nazo = pesa) Kuacha kuua raia kwa kisingizio cha kudhibiti...
  5. Mwamuzi wa Tanzania

    Kila ufanyalo kutafuta riziki lazima akili yako itambue kuwa dunia imebadilika na wewe lazima ubadilike. Usipozingatia hufanikiwi

    Habari ndugu zangu! Kila mtu mwenye utimamu wa akili na viungo ni sharti ajitafutie ridhiki. Wengi bado hawataki kubadilika hivyo hujikuta wanashindwa kusogea mbele kwa kasi. Lazima ubadilike, Zama hizi bado kuna mafundi simu wanaofosi kutengeneza simu kizamani, yaani hana computer, yeye...
  6. Rufiji dam

    Miaka 60 bado tunajenga madarasa! Serikali ibadilike ianze kujenga shule za ufundi na killimo tokea ngazi ya Kata

    Juzi tumefikisha miaka 60 ya Uhuru lakini hali bado inasikitisha sana. Serikali inaendelea na ujenzi wa madarasa ya shule za awali na sekondari. Nadhani ni kipindi sasa serikali inabidi igeukia elimu za ufundi kilimo na ufugaji. Kila mwaka nchi inalia na upungufu wa madarasa sasa unajiuliza hao...
Back
Top Bottom