Sisi veterans tunalishauri jeshi la polisi yafuatayo.
Liache na kujitenga kutumika kisiasa
Lijitathmini utendaji na utumishi wake kama linaishi kwa mujibu wa Katiba na Sheria inayoliunda
Lisitumike na wenyenazo kuwanyanyasa wasionazo (nazo = pesa)
Kuacha kuua raia kwa kisingizio cha kudhibiti...