Wakati Azam FC ikibakiza mechi tano kumaliza msimu wa Ligi Kuu Bara, tayari imeanza kimyakimya kutafuta kocha mpya atakayeiongoza msimu ujao ambao imepania kutwaa ubingwa huku kocha wa Al Hilal ya Sudan, Mkongomani Florent Ibenge akitajwa kutinga kikosini hapo ndani ya kipindi hiki cha mwisho wa...