ibilisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha unaondoka mikononi mwa Ibilisi, hapo utafanikiwa kila mahali

    Sababu inayomfanya mtu yeyote asifanikiwe ni kushikwa na kuonewa na Ibilisi. Unaweza kukamatwa haswa na Mr. Shetani huku ukiwa muumini mzuri wa Imani, sometimes unaweza kuwa kiongozi wa dini na Ibilisi akakuganda huku akimwacha mtu ambaye hata mlango wa kanisa hajui tarehe ya mwisho aliingia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…